Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kama huelewi at least do some research and educate yourself sio kuwa kama Lucas MwanshambwaFight wanafanya sawa,wanafanya fight kuhusu nini?,hawana ajenda maalum ya wanachokilalamikia
Atleast wangekuwa na uongozi rasmi. Kama agenda ya kumtoa rais basi inabidi iwe ya watu wote nchini siyo Gen Z peke yao.
Yote kwa yote Africa kumtoa rais kwa maandamano peke yake ni bado sana.
Acha kujitoa akili na kurudia talking points za Rutto na wenzake , vibaka ni minority taking advantage ya chaos inayofanywa mostly na security officers wa Rutto ili kulaumu waandamanaji, Rutto hana tofauti na akili za CCM ila wakenya sio watanzania, wanaye huyuVibaka wanapora wanapigwa risasi, unamlaumu Ruto kisa nini?
Uhuru Kenyatta hakuua waharifu?
Mla bata au sio?? ššššššMuch know au sio?? š
Waandamanaji wanataka nini?Acha kujitoa akili na kurudia talking points za Rutto na wenzake , vibaka ni minority taking advantage ya chaos inayofanywa mostly na security officers wa Rutto ili kulaumu waandamanaji, Rutto hana tofauti na akili za CCM ila wakenya sio watanzania, wanaye huyu
Kumbe hujui hata wanachotaka? bure weweWaandamanaji wanataka nini?
Kenyan demonstrators are protesting a range of issues including police brutality, government corruption, the high cost of living, and the proposed tax increases in the Finance Bill. They are also calling for President William Ruto's resignation.Waandamanaji wanataka nini?
Katika haya madai yao sijaona sehemu wameandika wanataka fujo, kuvunja maduka kuiba, kushambulia vyombo vya ulinzi na usalama na matukio mengine ya kiharifu.Kenyan demonstrators are protesting a range of issues including police brutality, government corruption, the high cost of living, and the proposed tax increases in the Finance Bill. They are also calling for President William Ruto's resignation.
Here's a more detailed breakdown:
- Police Brutality:
Protesters are demanding accountability for police actions, particularly after the death of a blogger in police custody.
- Government Corruption:
Concerns about corruption within the government, including scandals and misuse of public funds, are a major driver of the protests.
- Cost of Living:
The high cost of living, exacerbated by tax increases and the removal of subsidies, is a key grievance.
- Finance Bill:
The Finance Bill, which proposed increased taxes and levies, was a major catalyst for the protests, but the movement has broadened to address other issues.
- President Ruto's Resignation:
Many protesters are calling for President Ruto to step down, reflecting a broader dissatisfaction with the current political leadership.
Msambaa mwongo mwongoNaona unalia
Siasa za Waafrika ni mauzauzaMungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema
Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is enough
Kwako Lucas Mwashambwa š„·Subaru
Inaonekana unapenda league za mchanganiKatika haya madai yao sijaona sehemu wameandika wanataka fujo, kuvunja maduka kuiba, kushambulia vyombo vya ulinzi na usalama na matukio mengine ya kiharifu.
Sasa kwanini wanaofanya hivyo unawaita waandamanaji?
Endeleeni kuishi Stone Age, acha watu wasonge mbeleNingekua raisi wa huko ningeamuru wapigwe za kichwa kabisa.
Gen Z wanafanya upuuzi mwingi sana.
Mbele wapi? Hayo maandamano yamewasaidia nini zaidi ya kuharibu mali tu.Endeleeni kuishi Stone Age, acha watu wasonge mbele
Unajiona mjanja kumbe backwards asfMbele wapi? Hayo maandamano yamewasaidia nini zaidi ya kuharibu mali tu.
Maandamano yaliyopita yalisaidia nini? Ni mihemko tu.
Leta hoja, ndio maana mnapigwa shaba kwa kufata mkumbo, nenda kawasaidie wakulime ya kalio.Unajiona mjanja kumbe backwards asf