Rais Samia aache kukwepa majukumu

Si ndio hapo alisimama na kusema vijana wengi hawaoi, nikacheka sana.
 
Ninyi wote mnaomsengenya Mama msijali.. 2030 sio mbali. Atawaachia Urais wenu. Ila kwa sasa hakuna namna lazima mvumilie.. 2025 - 2030 ni Mama Samia tena.
 

..kwa hiyo CDF haaminiki?

..basi ateuliwe anayeaminiwa.
 
Kumbe vyama vya upinzani ndio vinateua wasio waTanzania kushika nafasi za maamuzi serikalini!
 
Urais ulimdondokea tu ila unampwaya sana, ndio maana anaajiri machawa wa kumpromoti
 
Kwanini mnapenda kujidanganya huyu mwanamke ana uwezo hata wa kufanya hayo majukumu.
 
Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
Wachaga wote ni wakenya na wapo kwenye nafasi nyeti serikalini lakini hatujawahi kusikia kelele kutoka popote kwamba wafukuzwe.
Ila sisi wakongo na wanyarwanda wa kigoma na ngara kila siku ni kelele tufukuzwe. Acheni unoko nyie watanganyika
 
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Anawaza uchaguzi tu......ndio tabia ya Wafrica
 
Wachaga wote ni wakenya na wapo kwenye nafasi nyeti serikalini lakini hatujawahi kusikia kelele kutoka popote kwamba wafukuzwe.
Ila sisi wakongo na wanyarwanda wa kigoma na ngara kila siku ni kelele tufukuzwe. Acheni unoko nyie watanganyika
Acha uongo
 
na ukionyesha nia mda huu ya kuwa rais wew ni ant gavooo
 
ulitaka afanyeje? apayuke,hivi wewe ukiletewa taarifa hadharani kuwa mkeo anatembea na rafiki yako,utakurupuka kumpiga na kumfukuza bila kuchunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida yenu hamuoni mazuri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia hawezi lolote, hawezi lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…