Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ameshakua Rais sasa inabidi akabiliane na hayo majukumuMnamuonea!!
Hakujiandaa kuwa Rais Wala hakua na vipaumbele vyake,malengo na hulka imekuja baada ya kupata!!
Ndio maana amepwaya coz akili haikujiandaa!
CCM ingemsaidia kumpumzisha lakini Kwa ujinga tulioukumbatia was kofia mbili ya uenyekiti na urais in one,inafanya process kuwa ngumu Hadi dark arts zitumike ndio tuweke mambo sawa!!
So sad!
Sawa Mkuu wa majeshi ya nyumbu.Sawa hata awe Rais milele ila asilazimishe jeshi liingie kwenye siasa.
Huyu bibi hii kazi hakuomba ilimdondokea tu , hivyo haoni ulazima wa kuwajibika na ndio maana kakaimisha madaraka kwa Paulo Bashite!! Kwani nyinyi vipofu hamuoni?
ulitaka afanyeje? apayuke,hivi wewe ukiletewa taarifa hadharani kuwa mkeo anatembea na rafiki yako,utakurupuka kumpiga na kumfukuza bila kuchunguza
Sent using Jamii Forums mobile app