Rais Samia aache kukwepa majukumu

Rais Samia aache kukwepa majukumu

Huyu mama kama anabusara aachane na uraisi kwasababu uwezo Hana kabisa, jitathmini mama kuliko kuingiza inchi kwenye majanga, sasahivi mahakama zimetiwa mfukoni, bunge mfukoni, polisi nao mfukoni, takukuru mfukoni, kinachofuata Kuna watu watamiliki jeshi lao kama Wegner hapo ndio mziki utaanza
 
Kwa hivyo kwa kauli yako ni kwamba JWTZ walikurupuka.
kwa watu wa itifaki sio tu kwamba CDF alikurupuka,lakini ilionyesha kabisa kwamba hajui yeye ni nani.

1,risala haitakiwi kuwa ripoti au ifanane na ripoti hata mara moja,achia mbali risala ya kumsomea mgeni rasmi rais tena inayohusu usalama.labda kama aliambiwa asome vile kwa malengo maalum.

2,kama kwa vyovyote haikupangwa kuwa vile maana yake amezua taharuki,kwamba vyombo vya serikali baadhi hakuna kazi vinafanya na ni ujumbe kwa rais kwamba yeye ni kiazi.hajui hata anachokifanya.

3,yeye kama cdf mlango wa magogoni uko wazi 28hrs kupeleka ripoti kama hizo.

kwahiyo kama hakupangaa(kasome haya),basi jiandaeni kusikia lolote kuanzia siku ile kumhusu yeye na nafasi yake.
 
Hii ndiyo Tanzania,sasa tumehamishiwa kwenye jambo jingine nyeti ili tupimwe uwezo wetu wa kufikiri na kutoa maoni
 
Hii ndiyo Tanzania,sasa tumehamishiwa kwenye jambo jingine nyeti ili tupimwe uwezo wetu wa kufikiri na kutoa maoni
 
Yani WAPINZANI wasio hata na rungu la kimasai walete fujo na kuacha Watusi na Wanayrwanda waliojazana kama alivyojuzwa na mpendwa wetu mkuu wa majeshi ?

Mimi nikashangaa Sana. Yani Leo CHADEMA wawe hatarishi kiasi kwba jeshi la wananchi lipewe tahadhari ya kuingilia kati.
 
Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.

Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.

Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .

Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia , kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Muliomba kuandamana mkaruhusiwa , tatizo ni nini tena? Kiki zimeisha au?
 
Huyu mama kama anabusara aachane na uraisi kwasababu uwezo Hana kabisa, jitathmini mama kuliko kuingiza inchi kwenye majanga, sasahivi mahakama zimetiwa mfukoni, bunge mfukoni, polisi nao mfukoni, takukuru mfukoni, kinachofuata Kuna watu watamiliki jeshi lao kama Wegner hapo ndio mziki utaanza

Kwa kauli yake ile , ipo siku jeshi litagawanyika.
 
Back
Top Bottom