Rais Samia aache kukwepa majukumu

Yani WAPINZANI wasio hata na rungu la kimasai walete fujo na kuacha Watusi na Wanayrwanda waliojazana kama alivyojuzwa na mpendwa wetu mkuu wa majeshi ?
 
Hapo alibugi Sana. Unampa mnyarwaanda nafasi nyeti Kama hiyo. Hayupo serious.

Busara ya kawaida tu ingemu alert kuwa hawa watu ni sleepers.

Anyway. Hata mimi nina pua ndefuuuuu!

Ila msijali sana wakuu. Napoza chai yangu tu kama alivyonifundisha marehemu bibi.
 
Hata JWTZ ni Rais pia anawahakiki, ndani ya JWTZ Rais ana watu wa usalama wengi tu, ama laaa, Mkuu wa Majeshi atuambie kwamba yeye Mkuu wa Majeshi ameyaona kwa wanasiasa tu na watendaji wa nje ya jeshi

Kwa hivyo unataka kusema hao wanausalama wa Rais ndani ya JWTZ wamempotosha CDF? Na kwanini wampotoshe?
 
Sidhani, kuwa, JWTZ, walikurupuka. Aidha JWTZ ni miongoni mwa taasisi za, Rais yeye kama amiri Jeshi mkuu. Kabla hawajaongea, alikuwa na taarifa, hiyo.Ufahamu wa wabongo wengi hupo china Sana. Kila kitu wanakifanya kuwa ni siasa tu.

Kweli kabisa.
 
Kaa ukijua kuwa CDF aliambiwa atoe hilo tangazo ili Rais ambaye ndiye mtoa agizo hilo apate wasaa wa kuwatishia na kuwatia hofu Watanganyika kuwa hawamu hii ya uchaguzi jeshi litakuwa liko tayari kwa lolote hasa upande wa vyama vya siasa.

Sasa ana kusudi gani kukiingiza jeshi kwenye uchaguzi?. Ana hofia Nini?
 

Kama CDF anapotoshwa je usalama wa nchi upoje?.
 

Ile kauli imetumika kisiasa kutisha vyama vya upinzani. Na sidhani Kama Kuna Nia yeyote ya kiusalama. Kama upinzani wangekuwa na lengo la kuleta machafuko sidhani Kama Rais angetoa hiyo kauli.
 
Ninyi wote mnaomsengenya Mama msijali.. 2030 sio mbali. Atawaachia Urais wenu. Ila kwa sasa hakuna namna lazima mvumilie.. 2025 - 2030 ni Mama Samia tena.

Sawa hata awe Rais milele ila asilazimishe jeshi liingie kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…