Na utashangazwa haswaaa....Kweli kabisa. Cheo chake kimemzidi uwezo. Ndio maana nitashangaa Sana Rais Samiah akichukua fomu ya Urais. Nitashangaa Sana.
kwa watu wa itifaki sio tu kwamba CDF alikurupuka,lakini ilionyesha kabisa kwamba hajui yeye ni nani.Kwa hivyo kwa kauli yako ni kwamba JWTZ walikurupuka.
Yani WAPINZANI wasio hata na rungu la kimasai walete fujo na kuacha Watusi na Wanayrwanda waliojazana kama alivyojuzwa na mpendwa wetu mkuu wa majeshi ?
Muliomba kuandamana mkaruhusiwa , tatizo ni nini tena? Kiki zimeisha au?Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia , kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Huyu mama kama anabusara aachane na uraisi kwasababu uwezo Hana kabisa, jitathmini mama kuliko kuingiza inchi kwenye majanga, sasahivi mahakama zimetiwa mfukoni, bunge mfukoni, polisi nao mfukoni, takukuru mfukoni, kinachofuata Kuna watu watamiliki jeshi lao kama Wegner hapo ndio mziki utaanza
Kiki zimeisha au? Mlitegemea heka heka Ili mtrend au? ππππππKama huelewi Jambo pita tu, sio kila mada ni ya uchawa.
Chawa ndio nini? Kiki zimeisha au? πππNarudia Tena. Tafuta mada za machawa. Hizi mada za Usalama wa nchi waachie watu wanaojitambua.