Rais Samia aache kulalamika, achukue hatua mara moja

Wakati mnaisema NHIF mkumbuke kuwa zipo hospitali nying za private zinategemea sana bima ya afya pasipo bima zita fail kujiendesha
 
NHIF iheshimiwe pamoja na mapungufu yao lkn kwenye huduma wako vizuri tuwasapoti kwa kutoa michango kila lenye jema pungufu halikosekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…