Hii nguvu wewe na mataga wenzio mlioitumia kupinga watu wasilipwe haki zao , mngeitumia kupiga kelele wizi na mafisadi wa EPA , Deep Green , Escrow , Meremeta , Richmond , wizi wa tilioni moja na nusu , ununuzi usiofuata taratibu wa ndege , ujenzi wa uwanja chato , matumizi ya pesa bila idhini ya bunge , wizi na uporaji wa hela za wafanyabiashara wa bureau de change , uporaji wa TRA kwenye akaunti za wafabiashara ningekuona wewe na wenzio wa maana , lakini kushupalia watu wasilipwe haki zao huku wamefanya kazi miaka mingi , muda , jasho lao limechangia sana nchi hii na Wana mchango mkubwa na miaka mingi kuliko hata wa huyo aliyewafukuza , unaona wasilipwe kweli ? Muogopeni Mungu nyinyi anayefanya kazi ni binadamu sio cheti simple logic but very meaningful .