Hajasema mashirika yaajiri yenyewe, amesema ikitokea taasisi kama hizo zimeomba kibali basi PSRS wafanya haraka na sio kuwaachia mashirika yaajiri wenyewe.Rais kashauriwa vibaya sana kufanya uamuzi huo
ajira zikirudishwa kwmy Mamlaka za Mashirika maana yake tunarudisha Ajira za Mtoto wa Mjomba na shangazi
Mkuu Rais hajasema Mashirika yaajili yenyewe amesema Utumishi waharakishe mchakato.kuna Nyakati pale National Insurance Corporation ilikuwa kama Tukuyu hadi watu wakawa wanaongea kinyakyusa
Taasisi ya Elimu kuna wakati ilikuwa kama kitongoji cha Rombo
Hilo linakuja soon, mama anafungua nchi π€£π€£π€£Huyu Mama atakuja kufuta na utaratibu wa GEPG na kuachia kila taasisi ya dola iwe na akaunti yake.
Nami ngoja niwahi bandariniNgoja ntafute namba ya mjomba wangu wa Tanesco sasa[emoji19]
Mashirika yamekuwa yakiajiri siku zote sio jambo jipya mpaka mshangilie Ajira zitafanyika Shirika likuwa vizuri kiuchumi RAIS anatafuta KURANdio pale utumishi walikuwa hovyo sana wanajizungusha huku hayo mashirika yanalipa mishahara yenyewe .
Hapa TRA ,TANESCO na n.k wanakwenda kuajiri kwa speend tutegemee ajira za kutosha mitaani
USSR
View attachment 2517585
Hatari kweli kweli...Hii kitu ni hatari kupita maelezo.
Huko kwenye mashirika kumejaa upendeleo wa kiwango cha SGR, wakubwa wa hayo mashirika wataajiri wakwe, vimada, vijukuu, marafiki zao tupu.
Subiri uone kimbembe chake.
Amesema PSRS waharakishe mchakato wa upatikanaji wa waajiriwa wapya. Sio kibali kimetoka wao wanakaa muda mrefu wakati kibali kilichatolewa, acha kukurupuka.Amesemaje?
USSR
Huyu mama amekama serikalin lakini hajui lolote badala ya kujenga anaboma walioweka huo mfumo wa centralized sio wajinga walikaa wakaona mbaliWatoto wa walalahoi ndio msahau kupata kazi katika hizo taasisi. Utumishi sifahamu makando kando yao mengine ila kwenye suala la ajira wako fair sana. Ni kupitia mfumo wao wa ajira nimeona vijana waliotokea familia za kawaida (akina sie watoto wa mama ntilie) wakipata kazi mashirika/vitengo nyeti Serikalini. Rais Mama Samia Usijaribu kuua mende kwa nyundo, fikiria tena kuhusu kauli/maamuzi yako, elewa tatizo lilipo kisha tatua ila sio kwa kuondoa mfumo rasmi uliopo. Kati ya Mashirika yaliyoongoza kwa vi Memo kabla ya mfumo wa ajira kuwepo ilikua ni TTCL na hapo TRA, ofisi nzima ilikua inaongozwa na familia.
Chawa kama chawa .wew ndo unajua sana kwani mama ameongea kingerezaHajasema mashirika yaajiri yenyewe, amesema ikitokea taasisi kama hizo zimeomba kibali basi PSRS wafanya haraka na sio kuwaachia mashirika yaajiri wenyewe.
Habari kama hii ni upotoshaji mkubwa.
Karudie kusikiliza sasa afu utakuja kujua ww ni Mbulula.Chawa kama chawa .wew ndo unajua sana kwani mama ameongea kingereza
Ama TRA kulikuwa Moshi js imaginekuna Nyakati pale National Insurance Corporation ilikuwa kama Tukuyu hadi watu wakawa wanaongea kinyakyusa
Taasisi ya Elimu kuna wakati ilikuwa kama kitongoji cha Rombo
Kujuana kulipoteaHuyu maza sijui kama anaelewa ANACHOFANYA. Nafuu ilipokuwa centralised na interviews walau watu walipatikana wazuri. Sasa hivi vyeti feki na undugunaization unarudi
Hata ingekuwa mimi siwezi kuona wa'kwetu anahustle na vyeti anavyokuna Nyakati pale National Insurance Corporation ilikuwa kama Tukuyu hadi watu wakawa wanaongea kinyakyusa
Taasisi ya Elimu kuna wakati ilikuwa kama kitongoji cha Rombo
πππkuna Nyakati pale National Insurance Corporation ilikuwa kama Tukuyu hadi watu wakawa wanaongea kinyakyusa
Taasisi ya Elimu kuna wakati ilikuwa kama kitongoji cha Rombo
Hata wasipo pewa wao ila upigaji bado hupoKatika hili nampongeza sana Rais Samia kwa uwezo na ubunifu wake wa kutatua matatizo. Utumishi inakera lakini ni muhimu kuendelea kutumika kwenye ajira.
Mamlaka na taasisi zisipewe mamlaka ya kujiajiri bila mchakato wa ndani kuratibiwa na kusimamiwa na utumishi. Taasisi zipewe jukumu la kutangaza ajira na tarehe za usaili lakini jukumu la kusimamia mchakato mzima wa ajira wasipewe wao.