Kazi ipo aiseeHii kitu ni hatari kupita maelezo.
Huko kwenye mashirika kumejaa upendeleo wa kiwango cha SGR, wakubwa wa hayo mashirika wataajiri wakwe, vimada, vijukuu, marafiki zao tupu.
Subiri uone kimbembe chake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba kantuma is back
Huu ndio muda mtajua Wahaya na wachaga nguvu zao na ushawishi wao na ubinafsi wao, na nguvu ya dini Fulani kuajiri watu wa dini zao, na ajira za vimemoKatika hili nampongeza sana Rais Samia kwa uwezo na ubunifu wake wa kutatua matatizo. Utumishi inakera lakini ni muhimu kuendelea kutumika kwenye ajira.
Mamlaka na taasisi zisipewe mamlaka ya kujiajiri bila mchakato wa ndani kuratibiwa na kusimamiwa na utumishi. Taasisi zipewe jukumu la kutangaza ajira na tarehe za usaili lakini jukumu la kusimamia mchakato mzima wa ajira wasipewe wao.
Kabisa, ajira zitatengenezwa ili ndugu zao, mahawara wapate ulaji. Nchi ngumu hii!!Ndio pale utumishi walikuwa ovyo sana wanajizungusha huku hayo mashirika yanalipa mishahara yenyewe.
Hapa TRA, TANESCO na n.k wanakwenda kuajiri kwa speed tutegemee ajira za kutosha mitaani
USSR
View attachment 2517585
Umesema vyema leo mtu atafurahia kwakua yuko kwenye nafasi nzuri ya connectionWatoto wa walalahoi ndio msahau kupata kazi katika hizo taasisi. Utumishi sifahamu makando kando yao mengine ila kwenye suala la ajira wako fair sana. Ni kupitia mfumo wao wa ajira nimeona vijana waliotokea familia za kawaida (akina sie watoto wa mama ntilie) wakipata kazi mashirika/vitengo nyeti Serikalini. Rais Mama Samia Usijaribu kuua mende kwa nyundo, fikiria tena kuhusu kauli/maamuzi yako, elewa tatizo lilipo kisha tatua ila sio kwa kuondoa mfumo rasmi uliopo. Kati ya Mashirika yaliyoongoza kwa vi Memo kabla ya mfumo wa ajira kuwepo ilikua ni TTCL na hapo TRA, ofisi nzima ilikua inaongozwa na familia.
Vumbi la kongo la nini tena mueshimiwa?Tatizo siyo ajira ....tatizo mifumo ya ajira...
ma-HR...wajiandae kujenga,kufuga na watafute vumbi la mkongo mapema....
kuwakomoa wadada wapenda mterezoVumbi la kongo la nini tena mueshimiwa?