azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 580
- 1,297
Mawasiliano walikua wanafukuza wamachinga na walikua na mpango wakuihamisha ile stendi kwenda mbezi luis na ubungo bus terminal huu mgogoro uliishaje alafu gafla tu soko linaungua.
Kwanini kila sehemu ya kibiashara mfano soko la kariakoo asaiv stend ya mawasiliano ikiwa na mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara kabla ya mgogoro kuisha inaungua why?
ISijekuwa kunamkono wa utawala katika kuungua moto kwa simu200 ili wafanyabiashara waondoke wenyewe wakisubiri fidia na ukarabati
Nimewaza tu