beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria
Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania wengi kwa faida ya watu wachache. Wanaochepusha Vyanzo vya Maji ni watu wachache, wana mashine kubwa zimefungwa kwenye mito zinapump maji kwenye mashamba yao"
Pia Soma >> Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu!