Very sad. CCM inachezea maisha na uhai wa watu. Mwaka huu haukuwa na ukame, tulipata mvua za kutosha. Ila katika hali ya kushangaza CCM wanatangaza eti kulikuwa na ukame.Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria
Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania wengi kwa faida ya watu wachache. Wanaochepusha Vyanzo vya Maji ni watu wachache, wana mashine kubwa zimefungwa kwenye mito zinapump maji kwenye mashamba yao"
Pia Soma >> Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu!
Bujibuji simba NyanaumeVery sad. CCM inachezea maisha na uhai wa watu. Mwaka huu haukuwa na ukame, tulipata mvua za kutosha. Ila katika hali ya kushangaza CCM wanatangaza eti kulikuwa na ukame.
CCM ya ngwe ile dhalimu imerudi.
Eti wanaochepusha maji niwachache na wanaohitaji maji ni wengi.Wamisri wamefanikiwa kumkamata Samia. Hii taarifa si ya kutolewa na kiongozi wa nchi, et watu wanachepusha maji kwenda kwenye mashamba? kilimo anakidharau sana.
Vyanzo vya maji, sheria ni mita 60 huko ndo ufanye hizo shughuli, hapo Kibaha Wana wanalima mtoni kabisaMmh.. so kilimo cha umwagiliaji tena hakitakiwi?? Turejee kurasa 300 na ushehe za ilani ya chama chetu inasemaje kuhusu kilimo??
CCM nyie ndio mnaweka rehani Maisha ya watanzania. Kulikuwa na haja gani kuteketeza matrillion kujenga daraja la salender, kununua midege city muhim kama maji. Mnanunua midege WATU hawana hata maji ya kukitawadha Ndo maana mnambambikia Mbowe kesi.Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria
Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania wengi kwa faida ya watu wachache. Wanaochepusha Vyanzo vya Maji ni watu wachache, wana mashine kubwa zimefungwa kwenye mito zinapump maji kwenye mashamba yao"
Pia Soma >> Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu!
Gharama za daraja la Tanzanite situngekuwa tumevuta maji toka ziwa Nyasa/Tanganyika nakusambaza nchi nzima.CCM nyie ndio mnaweka rehani Maisha ya watanzania. Kulikuwa na haja gani kuteketeza matrillion kujenga daraja la salender, kununua midege city muhim kama maji. Mnanunua midege WATU hawana hata maji ya kukitawadha Ndo maana mnambambikia Mbowe kesi.