Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
RnD kwa mazingira gani?Karibu kila chuo kinatoa kozi za tehama, binafsi Naona uwekezaji WA Research and Development ndilo la kuipa kipaumbele na sio kujenga chuo kingine. R&D ndio chanzo cha innovation na kukua kiteknolojia.
Tujifunze Kwa nchi kama Taiwan walivyopiga hatua kwenye Nyanja ya electronics(semiconductor) industry.
Mama Samia ana malengo mazuri sana sema wale mbwa walioachwa na yule kichaa ndio wanamrudisha nyuma maana ni kama wameshikia bundukiRnD kwa mazingira gani?
Namshauri rais aanza na mambo rahisi kama kurekebisha sheria ambazo zinaturudisha nyuma. Kuna sheria zinapingana na National ICT Policy. Hili ni jambo linalohitaji utashi tu. Then tunaweza kufikiria makubwa mengine.
Mh. Rais ajue kuwa Watanzania hawajashindwa kutengeneza mbadala wa FB et al. Ila bila kuwekewa mazingira mazuri ya kibiashara hilo halitawezekana hata kama kila Mtanzania akiwa nguli wa Tehama. Haya mambo ni biashara pia.
Acheni upumbavu,kwanini asiwatoe kama wanamkwamisha..Je yeye alikuwa serikali ipi?Mama Samia ana malengo mazuri sana sema wale mbwa walioachwa na yule kichaa ndio wanamrudisha nyuma maana ni kama wameshikia bunduki