The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia panda ya Uyole, Sae jijini Mbeya, Meta na Njiapanda ya kwenda Chunya ili vijana waweze kujiajiri kupitia biashara kwa masaa 24.
Aidha ameongeza kuwa kama ikiwezekana kwani si ahadi Mwanjelwa patajengwa daraja ili kuwezesha watu kuvuka kutoka upande mmoja kwenda mwingine
Aidha ameongeza kuwa kama ikiwezekana kwani si ahadi Mwanjelwa patajengwa daraja ili kuwezesha watu kuvuka kutoka upande mmoja kwenda mwingine