PostGE2025 Rais Samia aahidi kuzingatia haki katika utawala wa awamu yake ya pili

PostGE2025 Rais Samia aahidi kuzingatia haki katika utawala wa awamu yake ya pili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hotuba imepooza kama mkojo wa nyau!

Huyu Rais wa damu
Uzuri yeye mwenyewe kajishtukia kuwa yeye na Wabunge wake wote ni haramu. Wote choke mbaya. Mswahili wa Pwani ndio kabisaa kwisha hari yake.
 
Haki ipi? Haki pekee anayotakiwa kutoa ni kuachia madaraka
 
ccmtanzania_b1dc317b0cba419eafc6de318ec4da6d.jpg
ccmtanzania_b1dc317b0cba419eafc6de318ec4da6d.jpg
 
Haki gani wakati mikono yake imejaa damu? Kaua maelfu ya watu. Tarehe 9 dec lazima huu upuzi uishe.
 
Back
Top Bottom