Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.

Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro.

Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten.

Karibuni nyote

Updates;
 
Rais SSH ongea jambo Moshi ikusikie.
Kelele za Moshi kua jiji ni nyingi sana
 
Chonde chonde Covid 19 bado ipo ,mikusanyiko hii inakuaga ni super maambukizi!ila policeccm hawalioni hili ila mkutano wa ndani wa chama fulani!
 
Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.

Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro.

Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten.

Karibuni nyote

Updates;
Uzi umedoda hatari [emoji1]
 
HV rais s analipwa per diem kwa kila mtoko wowote anaofanya

Iwe rasm na isiwe rasm lzma watamlipa
Tu au siyo wazeee
 
Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.

Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro.

Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten.

Karibuni nyote

Updates;
Tukio liko mubashara lakini umeme hakuna
 
Back
Top Bottom