johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nawaona wazee wa Chadema na Nccr wakiwa wameketi pamoja!Mmebeba watu kwenye maroli kutoka huko Kishumundu
Hivi mbona unaisakama sana Cdm?Nawaona wazee wa Chadema na Nccr wakiwa wameketi pamoja!
Nccr huwaoni we mgogo?Hivi mbona unaisakama sana Cdm?
Uzi umedoda hatari [emoji1]Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.
Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro.
Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten.
Karibuni nyote
Updates;
Tukio liko mubashara lakini umeme hakunaWatu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.
Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro.
Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten.
Karibuni nyote
Updates;
Kazi IendeleeChief Hangaya anatisha
Marope anazingua!Tukio liko mubashara lakini umeme hakuna
Kishimundu ipo mkoa gani chaliiMmebeba watu kwenye maroli kutoka huko Kishumundu
Jitahidi juu chini usivembeweKila mtu ale kwa urefu wa kamba yake