Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Zanzibar haina haja ya kuwa na magovorner, sio kubwa. Zanzibar ipewe madaraka kamili, halafu huko bara watajua wenyewe vya kufanya.
 
Hujaelewa ndugu, kunatakiwa kuwe na serekali moja ya JMT, na kila mkoa uwe na governor yani kwa upande wa znz kuweka governor wawili mmoja unguja na mwengine pemba. Hivyohivyo na bara mikoa yote iwe na magovernor ili maendeleo yawe jumuishi na sio baadhi ya mikoa inaachwa nyuma. Nadhani nitakuwa nimerekebisha kauli.
Shika adabu yako Zanzibar no kubwa kuliko Tanganyika nzima

Hizo ndo kero za muungano ndugu yangu. Nilikuwa nishazaliwa na siyo hiyo tu ata zanzibar kujiunga FIFA tuliekewa ngumu
 
Tena mfahamu Zanzibar haijaanza 1964. Mkipata muda nendeni mkatalii makumbusho ya Zanzibar mtajifunza mengi.
 
Zanzibar haina haja ya kuwa na magovorner, sio kubwa. Zanzibar ipewe madaraka kamili, halafu huko bara watajua wenyewe vya kufanya.
Unguja pekee ni kubwakuliko dar ila najua utabisha. Lkni nchi hutambilika kama nchi ikiwaimemeet vigezo na znz imemeet vigezo vyote
 
Hujui kama TRA wanakusanya kodi huku Zanzibar?
 

Hizi ni kampeni za kumuharibia Mama
 
Kwa history ya lazima waruke ruke kama mahindi ya bis yanapokaangwa hawatasema ukweli tutafundishwa kina mkwawa na kinjekitile basi mengine ni funika kombe

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wasioelewa kuwa Zanzibar ni nchi hata kabla ya bara giza la afrika kugawanywa kule Berlin ktk Mkutano wa mabeberu 1884, wapewa somo. Kabla ya 1884 Tanganyika haikuwepo ilikuwa sehemu ya nyika giza la bara la Afrika
https://www.pbslearningmedia.org › ...
The Berlin Conference of 1884-1885 | Africa's Great ...



Known as The Berlin Conference, they sought to discuss the partitioning of Africa, establishing rules to amicably divide resources among

8 Jun 2020

Othman Masoud: Zanzibar haikuanza 1964 - Part 1​

Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba ni makosa kudhani kwamba Zanzibar ilianza mwaka 1964 baada ya Mapinduzi au 1995 baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na kwamba jambo ambalo haliwezi kuepukika muda wote ni mabadiliko. Msikilize kwenye sehemu hii ya kwanza ukijitarisha kwa ajili ya sehemu ya pili ya mazungumzo aliyofanya na Radio Noor ya Mjini Unguja.
 
Nadhani ata mwinyi aliupata urasi JMT kwakutumia kanuni hiyo mana hawasemi ukweli kw nyerere aliachiaje madaraka. Alijiuzulu au vp mpaka protocol iyo kutumika. So rais samia sio wa kwanza kuwa raisi jwa namna hiyo. Mwinyi alikw raisi znz ndipo sijui nini kilitokea akapewa urais JMT. TUSOME HISTORIA!!! Nawaaga kwa jina la is JMT.
 
Zanzibar ilikw nchi yenye dola kamili na fedha yake, yani sarafu ya zanzibar. Kwaherini
 
Acha VP dawa imuingie acha wabara dawa ituingie mbona mwenda zake alikua anapendelea kanda yake acha na mama ampambe Mwinyi Huku Kazi IENDELEE
 
Zanzibar ilikw nchi yenye dola kamili na fedha yake, yani sarafu ya zanzibar. Kwaherini

Tatizo watu historia ya nchi ya Zanzibar hawaielewi, Zanzibar ni dola kamili iliyokuwa inatambulika na mataifa makubwa hata kabla ya mwaka 1884. Nchi kadha zilikuwa na mabalozi wake Unguja miaka hiyo ya 1800 hiyo pia inaashiria uwepo wake muda mrefu kabla pande la nchi la Afrika mwaka 1884 kutengwa na kufahamika kama Ujerumani ya Afrika ya Mashariki (1919 Tanganyika).
 
Huwezi ukawa na tittle ya Rais na una mamlaka yote ya urais halafu mlingane na makamu wa rais hakuna kitu kama hicho

Hivyo ni
1. Rais za tanzania bara
2. Rais wa serikali ya mapunduzi zanzibar
3.Makamu wa rais tanzania bara
4.makamu wa rais serikali ya mapinduzi zanzibar

Kumbuka Rais wa zanzibar anapigiwa mizinga kama rais yeyote wa taifa lolote kama ambavyo inafanyika kwa rais wa bara hivyo makamu ni makamu tu hawezi kuwa zaid ya hadhi ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…