Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Vc ni mburundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kukumbusha hili, kumbe unalo?Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili mbona ni dogo, natamani huyo mama achote pesa tena za Tanganyika akajenge miradi ya nguvu huko Zanzibar. Na kwenye kuchota hizo pesa asijadiliane chochote na wapuuzi wa huku Bara. Na huyo mama akifanya hivyo tutamuita mzalendo na kutaka aongezewe muda wa kukaa madarakani.
Atajuaje anaendekeza chuki tuuHujui kama TRA wanakusanya kodi huku Zanzibar?
He! WAZIRI MKUU MBONA HAYUMO KWENYE HIYO LIST?Rais Samia
Rais Mwinyi
Makamu wa Rais Mpango
Makamu wa kwanza wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais
Jaji Mkuu to
Jaji mkuu zanzibar
Spika wa bunge to
Spika wa balaza la Mapinduzi
Manaibu Spika
Viongozi wa ulinzi na Usalama
Viongozi wa dini
Mabalozi
Wakuu wa mashirika
Itifaki imezingatiwa
Rais hata TFF yupoWewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
Tukiza matakle
... good idea!Zanzibar katika Bunge la Jamhuri ya Muungano unaishangaa, mimi nashangaa kwanini Bunge la Muungano lijivishe joho la Bunge la Tanganyika.
Ingependeza Bunge la Muungano liwe linafanya vikao kwa zamu kikao cha 11 Dodoma, Kikao cha 12 Zanzibar yaani kupokezana ili sehemu hizi za muungano kufaidi pesa za hoteli, nyama choma,bia , utalii nk badala ya choyo ya Tanganyika kungangania vikao vyote vya Bunge hili la muungano kufanyika Tanganyika tu.
Cheo cha rais wa Zanzibar.Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Nenda kawaulize km wao ni wenzetuCheo cha rais wa Zanzibar.
Pesa za sherehe ya muungano.
M bara haruhusiwi kununua kiwanja (ardhi) Zannzibar, wala kufanya kazi kwenye serikali ya Zanzibar.
Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye muungano.
Wapemba wabaguzi sana.
Urais wa dezo.
Kiongozi umechanganya mambo mengi kwa wakati mmoja, hivi hoja ya msingi hapa ni nini?
Na mbaya zaidi ni kauli hatari kama hizi:
Mwinyi si mwenzetu, maliza miaka minne utuachie nchi yetu.
Tuache kuhubiri chuki, wazanzibari ni ndugu zetu. Ebu twaache wapumue.
Wewe umeongea la manahuu muungano ni hasara tupu tangu tuungane sijawahi kula demu wa kizenji ila wao wamewamega wabara kibao KMMK Muungano uundiwe tume.Au mnasemaje wadau
Wewe ambae hujui historia ya nchi yako tukuite nan? Em msikilize prof. Kabudi alivofungua mjadalo leo kwenye kongamano alaf jiulize hio historia ww unaijua na kwa nini hawafundishwi na kueleweshwa watanzania? Wabongo mnachefua na kufeli mm naona muendelee kutetea atcl mana mambo ya zanzibar hamyajui na apo ulipo hujui ata kwanini maraisi wa JMT kutoka bara hawataki swala la muungano liongelewe au kusikia habari za kuvunjwa kwa muungano?Mshamba wewe
MATAGA wale wapiga Zumari la Meko tulieni Dawa iingie, Mama amekuwa Raisi kwa Mujibu wa Katiba, hata Meko alikuwa Raisi kwa Mujibu wa Katiba though aliiba KuraNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Hajazoea ubosi. Kidogo, kidogo atabadilika. Mpe muda mama wa watu ajifunze na kuchapa kazi. Hapa kazi tu Iendelee.Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.