Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Jambo hili huwa inategemea na shughuli huskika kwa mfano shughuli za SMZ zote zipo chini ya Raisi wa SMZ ila shughuli zote za Jamhuri Raisi wa JMT ndio boss ila ki-ujumla Raisi wa JMT ndio boss akifutiwa na Makamu wake sababu JMT ndio yenye Tanganyika na Zanzibar
 
Binafsi sioni tukisonga vema na huyu mazeri,yaani huu muungano huu!?!
 
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Nilitaka kukumbusha hili, kumbe unalo?

Hivi huwezi kwenda kuoa Zanzibar ukiwa Bara? Na ukioa huko, bado huwezi kuruhusiwa kununua ardhi huko?

Na ukitaka kuwekeza je, unaweza kuruhusiwa kuwekeza huko, na bado ukawa unachukuliwa kuwa ni mtu kutoka nje?

Lakini la muhimu zaidi ni hili: Kama wewe mTanganyika ulinyimwa haki ya kununua ardhi Zanzibar, je, watu wengine toka sehemu nyingine duniani wanaruhusiwa kununua ardhi Zanzibar? Sheria inasemaje? Mwenye jibu tafadhali saidia.

Mpe muda, mama bado ana maluweluwe; bado hajaelewa vizuri cheo chake kipya. Atajirudi tu.

Hapo ilipo Zanzibar, Tanganyika haiepukiki kwa njia yoyote.
 
Kuna vitu vingi vinatukera sema tu hatuna namna.
Una mke mmoja ana mtoto 1, mwingine ana watoto kumi then pesa ya matumizi kotekote unaacha elfu kumi.
Jingine ni nafasi za uongozi. Zhenj Wanatoa viongozi wengi kuliko bara ukihesabu kwa asilimia ya idadi ya watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makamo wa Rais wa Tanganyika hana jukumu lolote labda a subiri offer ya akate utepe, wakati Rais wa Zanzibar ni Rais wa nchi inayotambuliwa na kwa mujibu wa katiba ya zanzibar na ni waziri wa Serikali ya Tanganyika vlvl. 2in1
 
He! WAZIRI MKUU MBONA HAYUMO KWENYE HIYO LIST?
 
... good idea!
 
Mbona zanzbar nndogo sana bara ku km za mraba kama laki 9 ns ushee sasa kila mtu akienda kununua ardhi zenji itakuwaje? Jaribu kufikiria wako kama 1m tu kwann wasije huku bara hapa ni reasoning tuu
 
Cheo cha rais wa Zanzibar.
Pesa za sherehe ya muungano.
M bara haruhusiwi kununua kiwanja (ardhi) Zannzibar, wala kufanya kazi kwenye serikali ya Zanzibar.
Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye muungano.
Wapemba wabaguzi sana.
Urais wa dezo.

Kiongozi umechanganya mambo mengi kwa wakati mmoja, hivi hoja ya msingi hapa ni nini?

Na mbaya zaidi ni kauli hatari kama hizi:
Mwinyi si mwenzetu, maliza miaka minne utuachie nchi yetu.

Tuache kuhubiri chuki, wazanzibari ni ndugu zetu. Ebu twaache wapumue.
 
Nenda kawaulize km wao ni wenzetu
 
Mshamba wewe
Wewe ambae hujui historia ya nchi yako tukuite nan? Em msikilize prof. Kabudi alivofungua mjadalo leo kwenye kongamano alaf jiulize hio historia ww unaijua na kwa nini hawafundishwi na kueleweshwa watanzania? Wabongo mnachefua na kufeli mm naona muendelee kutetea atcl mana mambo ya zanzibar hamyajui na apo ulipo hujui ata kwanini maraisi wa JMT kutoka bara hawataki swala la muungano liongelewe au kusikia habari za kuvunjwa kwa muungano?
 
MATAGA wale wapiga Zumari la Meko tulieni Dawa iingie, Mama amekuwa Raisi kwa Mujibu wa Katiba, hata Meko alikuwa Raisi kwa Mujibu wa Katiba though aliiba Kura
 
Hajazoea ubosi. Kidogo, kidogo atabadilika. Mpe muda mama wa watu ajifunze na kuchapa kazi. Hapa kazi tu Iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…