Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Yaani unavyozungumza, utadhani kichwani umejaa tui la nazi.
 
Vip kuhusu prime minister
 
Mnatia hasira tatizo, nimespend all day nawaelimisha kuhusu jambo hilo nyie mmeshika makam wa rais ni mkubwa kuliko rais wa nchi. Nani mbaguzi??? Protocol my ass!!!
Kwa katiba ya sasa, Zanzibar siyo nchi bali ni sehemu ya nchi inayoitwa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa zanzibar ni kiongozi wa sehemu hiyo ambaye ana mamlaka ya mwisho kuhusu sehemu hiyo. Ila sehemu nyingine za nchi zina hii wakuu wa mikoa ambao hawana mamlaka ya mwisho kwenye sehemu zao. SSH aliwahi kusema kuwa hawezi kujidemote kwenda kugombea urais wa Zanzibar ilhali yeye ni makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, au umesahau kauli ile?
 
nasema hivi: Mama Samia ni rais bora na makini. Rais wa mioyo ya watu. Majeraha bado hayajapona kabisa ndiyo maana anaendelea na matibabu. VP mwenyewe kila akiongea ni sumu tu ,,ikiwezekana hata asitajwe kabisa ,, tuassume hayupo.
Kuhusu mgao wa Muungano,, Zanzibar inapata 4%; kama zilikuwa 100m Zenji wanapata 4m -Umeelewa?
Kwasasa Idadi ya watu wa Zanzibar ni 2.5% ya watanzania wote lakini hayo ni makubaliano aliyoyafanya m'bara mwenzetu JK Nyerere siyo issue ya kumlaum mama kipenzi cha watanzania wote.
Mama endelea na matibabu, we love you [emoji173]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

huyu mama ni mbaya sana sana mtakuja kukumbuka badae hakuna mzanzibar mzuri kaa nae jirani mzanzibar ujue tabia zao
 
Rais akiwa mgonjwa au akifariki Line of succession iko ivi
-Vice President
-Prime Minister
Katiba imekuwa revised 2015 na kuwatoa hao wakuu wa mihimili mingine kuhold iyo position when The post became vacant
Katiba ta JMT imeandikwa 1977 na kufanyiwa marekebisho mara moja 2005. Yani inafahami kama the constitution of the United republic of Tanzania of 1977 revised in 2005. Iyo 2015 naomba uipost hapa tuione 🙇‍♂️
 
Unaongelea katiba hii ya JMT au kuna nyengine ambayo siifaham?
 

Attachments

Ilikuwa ni kijembe na bahat nzuri nilikuwepo akisema hivyo kizimkazi kwenye shereh za kwao uko 2019
 
Sisi hatutaki ata iyo 4% tunachotaka ni kuacha na mapato yetu yote na tusichangie kitu kwenye uwo muungano weni mana sio fair
 

linganisha uwiano wa watu na ukubwa wa nchi sio nusu kwa nusu. zanzibar ukubwa wake kama mwanza tu
 
Katiba mimi siijui lakini naamini Tanzania ineundwa na nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, kwa hiyo tuna maraisi wawili, na kama tuna maraisi wawili basi hao ndiyo wakuu wa hizo nchi. Wakuu wa nchi hizo mbili ndiyo wenye heshima ya juu ya kitaifa.
 
Katiba mimi siijui lakini naamini Tanzania ineundwa na nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, kwa hiyo tuna maraisi wawili, na kama tuna maraisi wawili basi hao ndiyo wakuu wa hizo nchi. Wakuu wa nchi hizo mbili ndiyo wenye heshima ya juu ya kitaifa.
Ya kiswahili sina soma hii ukishindwa tafuta mtu akutafsirie. Mitaala yet haiko sawa anatakiwa wafundishe hii kitu kwenye civics o level
 

Attachments

Unaongelea katibahii ya JMT au kuna nyengine ambayo siifaham?
Basi hujui kuisoma: Chapter 2 (Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) ni serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chapter 3 (Spika, Naibu Spika na Wabunge Wote) ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, halafu Chapter 4 ni Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ambayo imeunganisha structure yote ya Zanzibar, na baadaye Chapter 5 ni mahakama.

Order za chapter hizo ndiyo superiority yenyewe kikatiba
 
Wakati wa vuguvugu la kugombea Urais wa Zanzibar 2020 Mama aliwahi kunukuliwa akisema hawezi kugombea Urais wa Zanzibar kwasababu cheo alichokuwa nacho (VP-URT) ni kikubwa kuliko Urais wa Zanzibar.
Kwani Shein akuwa Makamu wa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…