Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Mkuu ungefafanua kidogo unaposema wanaishi kama yatima,wakati hawa jamaa wanamiliki biashara za maana tu huku bara na huko visiwani bila bughuda yoyote.
 
Walipokuwa wanasema sheria ni science inayohitaji deep understanding ya hiko kitu nilikw sijaelewa wanamaanisha nn ila sasa nimeelewa.!! Umesomea sheria ndugu mana huwa kuna maelekezo ya kusoma ujue kama hujasoma sheria tafuta wakili akueleweshe πŸ€”πŸ€”πŸ€”. Ila hili PEASANT sijui ata km o level alimaliza😏. Em mie niende job
 
Wewe ni wakili au mwanasheria? Km sio tafuta hao watu wakueleweshe ndugu mbona mbishi. Ivi we kabila gani kwanza mana nilielekezwa kuna watu ukibishana nao unapoteza mda tu. Wao washatune akili zao yani ata ulete bibilia atabisha ukweli wa humo.

 
Waziri mkuu je?
 
Rais wa Zanzibar hawezi kufanya jambo lolote kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Jambo ambali Makamu wa rais na Waziri mkuu wanafanya.
 
Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.

Nyie ndo mnafanya tutukanwe.
 
Inawezekana kipindi yupo yeye alimuona Rais wa Zanzibar Dr Shein kama Boss wake

Ni kweli aliwahi kukataa kuhusishwa kugombea Urais Zanzibar, akidai ni mdogo kuliko cheo chake Makamu JMT.

Yameshalia mbwata!!
 
Katika hotuba zake hata Ile ya Kwanza alisema yeye na Rais Mwinyi wataivusha Tanzania. Kipaumbele chake kulikuepo Kwa Rais Mwinyi sio makamo wake wa Rais ni kama geresha
 
Kabla ya kuendelea kulalamika kinafki, mmewahi kuwauliza kama wanautaka huu muungano??

Ukiwauliza leo watasema wanautaka. Kwa sababu wameingiza turufu yao. Walikuwa wanalalamika baada ya kuona hakuna dalili watakuja kupata Rais wa JMT.

Leo unasikia fedha za sherehe zipigwe pasu, mbona wasichekelee!
 
Aliongea lini hiko kitu. Ivi unajua kilichosababisha kifo cha karume kwanza? Karume alifika mda akawa anaongelea kuhusu kuvunja muungano hadharani kabisa ww jnaongea nn ???
Sasa kama hujui kilichosababisha kifo cha Karume heri ungenyamaza.
Karume alitaka sana muungano kwanza ni hofu kubwa toka kwa wale umma party ambao walikuwa na nguvu kubwa.
 
Mama na bara duh! Ndo maana "nawasalimu kwa jamhuri ya 'Muungano', tutaona mengi hasa pale mitandao itakapoendelea kuhoji mambo yake zaidi. Naona rungu liko pale pale kwa " wazandiki"
 
mawazo HASI,hatutakubali mtu aje na hoja zake zenye lengo na nia ya kutugawa. we dont care hata akipeleka zote as long as zanzibar na Tanganyika ni taifa moja.
 
Yakhee Zanzibar ni shwari, dah! Nimekumbuka msemo wa hayati Karume kutokana na hizi sarakasi za kikatiba.
 
Kuna mtu tulibishana sana kuhusu kigugumizi cha Bashiru kutangaza kifo na kuapa kwa bimkubwa. Sijui kama alinielewa.

Nadhani muda sasa unaanza kuamua.
 
Mambo mengi yatakuwa hayana utata kama tukikubali serikali tatu.
  • Serikali ya Tanzania
  • Serikali ya Tanganyika
  • Serikali ya Zanzibar
Nchi iwe ni Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.

Kwa mustakabadhi huo, basi yafuatayo yanakuwa wazi:
  • Kiongozi yeyeto wa Serikali ya Tanzania ana mamlaka Tanganyika na Zanzibar.
  • Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Mawaziri wote wa Tanzania ni viongozi wenye mamlaka Tanzania yote, yaani Tanganyika na Zanzibar.
  • Rais wa Tanganyika anaheshimiwa Zanzibar lakini hana madaraka Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar anaheshimiwa Tanganyika laikini hana madaraka Tanganyika.
  • Namba moja kwa ukuu ni Rais wa Tanzania, namba mbili ni Makamu wa Rais wa Tanzania, namba tatu ni Waziri Mkuu wa Tanzania, namba nne ni Rais wa Tanganyika, namba tano ni Rais wa Zanzibar. Wengine wanafuata baada ya hao.
 
Kunywa mvinyo baada ya kuandika Thread. Tatizo umekunywa kabla hujaandika huu uzi, na ndio maana chenga zote zikajitokeza.

Rudi tena na sahihisha andiko lako, kwani mvinyo umeshakutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…