Bigawas
Senior Member
- Feb 19, 2021
- 124
- 84
Mkuu ungefafanua kidogo unaposema wanaishi kama yatima,wakati hawa jamaa wanamiliki biashara za maana tu huku bara na huko visiwani bila bughuda yoyote.Mimi ni mbara lakini maoni yako ni ZERO kabisa. Kisa uilitaka kununua kiwanja Zanzibar ukaambiwa uoneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi!!! Acha chuki kwa mama na wazanzibar kwa ujumla. Ungejua wazanzibar maisha wanayoishi wala usingeongea chochote, wanaishi kama yatima.