Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Mimi ni mbara lakini maoni yako ni ZERO kabisa. Kisa uilitaka kununua kiwanja Zanzibar ukaambiwa uoneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi!!! Acha chuki kwa mama na wazanzibar kwa ujumla. Ungejua wazanzibar maisha wanayoishi wala usingeongea chochote, wanaishi kama yatima.
Mkuu ungefafanua kidogo unaposema wanaishi kama yatima,wakati hawa jamaa wanamiliki biashara za maana tu huku bara na huko visiwani bila bughuda yoyote.
 
Basi hujui kuisoma: Chapter 2 (Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) ni serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chapter 3 (Spika, Naibua Spika na Wabunge Wote) ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, halafu Chapter 4 ni Serikali ya mapinduzi ya Zazibar ambayo imeunganisha sstructure yote ya Zanzibar, na baadaye Chater 5 ni mahakama.

Order za cgaoter huzo ndiyo superiority yenyewe kikatiba
Walipokuwa wanasema sheria ni science inayohitaji deep understanding ya hiko kitu nilikw sijaelewa wanamaanisha nn ila sasa nimeelewa.!! Umesomea sheria ndugu mana huwa kuna maelekezo ya kusoma ujue kama hujasoma sheria tafuta wakili akueleweshe 🤔🤔🤔. Ila hili PEASANT sijui ata km o level alimaliza😏. Em mie niende job
 
Basi hujui kuisoma: Chapter 2 (Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) ni serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chapter 3 (Spika, Naibua Spika na Wabunge Wote) ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, halafu Chapter 4 ni Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ambayo imeunganisha structure yote ya Zanzibar, na baadaye Chapter 5 ni mahakama.

Order za chapter hizo ndiyo superiority yenyewe kikatiba
Wewe ni wakili au mwanasheria? Km sio tafuta hao watu wakueleweshe ndugu mbona mbishi. Ivi we kabila gani kwanza mana nilielekezwa kuna watu ukibishana nao unapoteza mda tu. Wao washatune akili zao yani ata ulete bibilia atabisha ukweli wa humo.

Screenshot_20210427-075250_Chrome.jpg
 
Rais Samia
Rais Mwinyi
Makamu wa Rais Mpango
Makamu wa kwanza wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais
Jaji Mkuu to
Jaji mkuu zanzibar
Spika wa bunge to
Spika wa balaza la Mapinduzi
Manaibu Spika
Viongozi wa ulinzi na Usalama
Viongozi wa dini
Mabalozi
Wakuu wa mashirika
Itifaki imezingatiwa
Waziri mkuu je?
 
Basi hujui kuisoma: Chapter 2 (Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) ni serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chapter 3 (Spika, Naibu Spika na Wabunge Wote) ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, halafu Chapter 4 ni Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ambayo imeunganisha structure yote ya Zanzibar, na baadaye Chapter 5 ni mahakama.

Order za chapter hizo ndiyo superiority yenyewe kikatiba
Rais wa Zanzibar hawezi kufanya jambo lolote kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Jambo ambali Makamu wa rais na Waziri mkuu wanafanya.
 
Inawezekana kipindi yupo yeye alimuona Rais wa Zanzibar Dr Shein kama Boss wake

Ni kweli aliwahi kukataa kuhusishwa kugombea Urais Zanzibar, akidai ni mdogo kuliko cheo chake Makamu JMT.

Yameshalia mbwata!!
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.

Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.

Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Katika hotuba zake hata Ile ya Kwanza alisema yeye na Rais Mwinyi wataivusha Tanzania. Kipaumbele chake kulikuepo Kwa Rais Mwinyi sio makamo wake wa Rais ni kama geresha
 
Kabla ya kuendelea kulalamika kinafki, mmewahi kuwauliza kama wanautaka huu muungano??

Ukiwauliza leo watasema wanautaka. Kwa sababu wameingiza turufu yao. Walikuwa wanalalamika baada ya kuona hakuna dalili watakuja kupata Rais wa JMT.

Leo unasikia fedha za sherehe zipigwe pasu, mbona wasichekelee!
 
Aliongea lini hiko kitu. Ivi unajua kilichosababisha kifo cha karume kwanza? Karume alifika mda akawa anaongelea kuhusu kuvunja muungano hadharani kabisa ww jnaongea nn ???
Sasa kama hujui kilichosababisha kifo cha Karume heri ungenyamaza.
Karume alitaka sana muungano kwanza ni hofu kubwa toka kwa wale umma party ambao walikuwa na nguvu kubwa.
 
Mama na bara duh! Ndo maana "nawasalimu kwa jamhuri ya 'Muungano', tutaona mengi hasa pale mitandao itakapoendelea kuhoji mambo yake zaidi. Naona rungu liko pale pale kwa " wazandiki"
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.

Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.

Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
mawazo HASI,hatutakubali mtu aje na hoja zake zenye lengo na nia ya kutugawa. we dont care hata akipeleka zote as long as zanzibar na Tanganyika ni taifa moja.
 
Yakhee Zanzibar ni shwari, dah! Nimekumbuka msemo wa hayati Karume kutokana na hizi sarakasi za kikatiba.
 
Kuna mtu tulibishana sana kuhusu kigugumizi cha Bashiru kutangaza kifo na kuapa kwa bimkubwa. Sijui kama alinielewa.

Nadhani muda sasa unaanza kuamua.
 
Mambo mengi yatakuwa hayana utata kama tukikubali serikali tatu.
  • Serikali ya Tanzania
  • Serikali ya Tanganyika
  • Serikali ya Zanzibar
Nchi iwe ni Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.

Kwa mustakabadhi huo, basi yafuatayo yanakuwa wazi:
  • Kiongozi yeyeto wa Serikali ya Tanzania ana mamlaka Tanganyika na Zanzibar.
  • Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Mawaziri wote wa Tanzania ni viongozi wenye mamlaka Tanzania yote, yaani Tanganyika na Zanzibar.
  • Rais wa Tanganyika anaheshimiwa Zanzibar lakini hana madaraka Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar anaheshimiwa Tanganyika laikini hana madaraka Tanganyika.
  • Namba moja kwa ukuu ni Rais wa Tanzania, namba mbili ni Makamu wa Rais wa Tanzania, namba tatu ni Waziri Mkuu wa Tanzania, namba nne ni Rais wa Tanganyika, namba tano ni Rais wa Zanzibar. Wengine wanafuata baada ya hao.
 
Kunywa mvinyo baada ya kuandika Thread. Tatizo umekunywa kabla hujaandika huu uzi, na ndio maana chenga zote zikajitokeza.

Rudi tena na sahihisha andiko lako, kwani mvinyo umeshakutoka.
 
Back
Top Bottom