Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

... nilishangaa sana kilichowapeleka rais na makamu wa rais Znz Bungeni Dodoma wakati wa hotuba ya Madam President!
 
Inategemeana na shughuli husika bwashee.

Kuna wakati Rais wa Zanzibar anashiriki tukio kama Rais siyo Waziri.

Mpango anakuwa mkubwa kwa Dr Mwinyi kwenye mambo ya muungano tu.
 
Mama afate protocol pengine anaamini yeye ni Raisi wa Tanganyika , Mwinyi ni Raisi wa Zanzibar so Kwa pamoja ni maraisi wa Tanzania na msaidizi wao Kwa ukarbu ndo mpango
... bado anaonekana anakua pole pole sana kwenye siasa za Tanganyika, Zanzibar, na Tanganyika. Anahitaji kusaidiwa sana ili kuepusha sintofahamu yoyote inayoweza kusababishwa na kauli yake. Hatari sana.
 
Wanyonge tupo wapi hapo?
 
Safi, imezingatiwa. Mwenye tatizo aje
 
Unachonganisha??
 
Nafikiri hii isue sio kubwa kihivyo. Inamalizika kirahisi tusikuze sana mambo. After all, katiba ni katiba. Lazima iheshimiwe. Bila katiba hata Mama asingesimama alipo. Kwahiyo anaiheshimu sana.
Tumsaidie Mama yetu aongoze nchi vizuri. Tumshauri kwa staha. Tumpe nafasi ya kuongoza kama alivyojaariwa na Mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…