Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulimponda na kumkosoa sana Hayati JPM kwa style hii ya kuamua tu mambo aonavyo kichwani mwake.Kwani sheria ya protokali kama ipo inasemaje?
Anavyotaka raisi kupanga protokali yake ndiyo hivyohivyo, Yeye ndo ana maamuzi ya mwisho ya protokali nzima ya utendaji mambo ya serikali yake!
Akiamua kuanza kumsalimia Katibu kata kabla ya waziri mkuu hakuna wa kumpangia, yeye ndo mwenye protokali yake!
Hakufanya sawa
Ki protocal, Hussein hana title yoyote kwa sasa kwny Jamhuri zaid ya kuwa Mjumbe tu wa Baraza la Mawaziri
Title ya Rais wa Znz kuwa Makamu wa Rais ilishaondolewa tangu 1994 kwa Ushauri wa Nyerere
Watu wa Protocal na hasa Waandishi wa Hotuba waiondoe hii sintofahamu!
Wakumbushe banaa, naona wamejisahaulisha wakati hata miezi miwili haijaipitaKwani sheria ya protokali kama ipo inasemaje?
Anavyotaka raisi kupanga protokali yake ndiyo hivyohivyo, Yeye ndo ana maamuzi ya mwisho ya protokali nzima ya utendaji mambo ya serikali yake!
Akiamua kuanza kumsalimia Katibu kata kabla ya waziri mkuu hakuna wa kumpangia, yeye ndo mwenye protokali yake!
Umenikumbusha kituHakufanya sawa
Ki protocal, Hussein hana title yoyote kwa sasa kwny Jamhuri zaid ya kuwa Mjumbe tu wa Baraza la Mawaziri
Title ya Rais wa Znz kuwa Makamu wa Rais ilishaondolewa tangu 1994 kwa Ushauri wa Nyerere
Watu wa Protocal na hasa Waandishi wa Hotuba waiondoe hii sintofahamu!
Ndio, hujui hilo??Zanzibar ni nchi?
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Umeandika ugoro!Rais Samia
Rais Mwinyi
Makamu wa Rais Mpango
Makamu wa kwanza wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais
Jaji Mkuu to
Jaji mkuu zanzibar
Spika wa bunge to
Spika wa balaza la Mapinduzi
Manaibu Spika
Viongozi wa ulinzi na Usalama
Viongozi wa dini
Mabalozi
Wakuu wa mashirika
Itifaki imezingatiwa
... Katiba Mpya ilikuwa imalize takataka kama hizi ila ndio hivyo tena; chama kwanza badala ya nchi.
Makamo wa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzaniaWewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
Tunajadili Rais wa nchi na Makamu wa Rais wa nchi. Zanzibar siyo nchi bali ni sehemu ya nchi ya Tanzania. Tofauti ya Rais wa Zanzibar na wakuu wa mikoa wengine wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya ndani ya Zanzibar wakati wakuu wa mikoa hawana mamlaka hayo.Muulize mbunge wako uliyemchagua hayo maswali. na kwa Maneno ya Kiswahili Raisi ni Mkubwa kuliko makamo wa raisi hata ukubadilisha kwa lugha za kigeni, hata kwenye hafla za kimataifa ndio utaratibu
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Ndio, hujui hilo??
Hamna cha protocol bali upuuzi mtupu. Magufuli alikuwa anafanya anachotaka na alikuwa anaonekana wa maana. Ni hivi, kila zama na kitabu chake, huyo mama afanye atakalo maana tumeacha katiba yetu kufanyiwa chochote na rais.Hakufanya sawa
Ki protocal, Hussein hana title yoyote kwa sasa kwny Jamhuri zaid ya kuwa Mjumbe tu wa Baraza la Mawaziri
Title ya Rais wa Znz kuwa Makamu wa Rais ilishaondolewa tangu 1994 kwa Ushauri wa Nyerere
Watu wa Protocal na hasa Waandishi wa Hotubatumeachahii sintofahamu!
Waache watanganyika waendelee kulala fofofo wakiendelea kupingana wao wao.Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Ina kiti umoja wa mataifa!!??Ndio, hujui hilo??