Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.

Mkuu, nadhani umepotoka kidogo. Rais wa nchi inayoitwa Tanzania ni SSH na makamu nia PIM. Mpango ndiye tu anayeweza kuwa Rais wa Jamhuri kama yatamkuta SSH yaliyomkuta JPM. Mpango ni mkubwa kuliko Rais wa Zanzibar.

Tunasemaga hapa muungano huu una kasoro na mnakataa. Tanganyika haina Rais lakini Zanziba ina Rais. Ingefaa basi Mpango awe ni Rais wa Tanganyika na mama wa Jamhuri ili unachokisema kiwe na maana.
 
zamu ya wazenji kupenda kwao kwanza wengine watafuatia
Uno umano. Mbona kuhusu chato mlikuwa kimya, tulieni tuwaoneshe kwanza mana ishu ya katiba mpya ikiletwa mnasema watu hawali katiba. Ukweli protocol ni kuwa makamu wa raisi wa tanzania hawezi kuwa juu ya rais wa zanzibar ndo mana mama anaeka sawa. Yule ni raisi na mpango ni makam, rasi wa tanzibar nyuma anakaa mjeda yani jeshi alaf ndo usalama na mpango hana ulinzi wa jeshi bali ni usalama pekee. Ndo mana wazanzibari wanalia juu ya muungano sababu hauna usawa kiuhalisia na juzi nilisema mnaongangania muungano ni watanganyika. Mm napenda muungani ila kama mzanzibari na kutokana na mfumo wa sasa najumuika na wazanzibari wenzangu kusema mkiwa tayari kuuvunja sisi tulikw tayari na tuko tayari mda wowote ule na ndomana mashekhe wa muungano wako ndani mwaka wa 8 sasa sababu walitaka mfumo wa muungano ubadilike. Lakjni pia tanganyika ikitaka na kuridhia kuweka mufumo ya muungano uwe sawa pia tuko tayari kushirikiana na tanganyika kuweka usawa na umoja ili kuweza kuleta maendeleo jumuishi ya tanzania yetu. #katibampya
 
Uno umano. Mbona kuhusu chato mlikuwa kimya, tulieni tuwaoneshe kwanza mana ishu ya katiba mpya ikiletwa mnasema watu hawali katiba. Ukweli protocol ni kuwa makamu wa raisi wa tanzania hawezi kuwa juu ya rais wa zanzibar ndo mana mama anaeka sawa. Yule ni raisi na mpango ni makam, rasi wa tanzibar nyuma anakaa mjeda yani jeshi alaf ndo usalama na mpango hana ulinzi wa jeshi bali ni usalama pekee. Ndo mana wazanzibari wanalia juu ya muungano sababu hauna usawa kiuhalisia na juzi nilisema mnaongangania muungano ni watanganyika. Mm napenda muungani ila km mzanzibari na kutokana na mfumo wa sasa najumuika na wazanzibari wengine kusema mkiwa tayari kuuvunja sisi tulikw tayari na tuko tayari mda wowote ule na ndomana mashekhe wa muungano wako ndani mwaka wa 8 sasa sababu walitaka mfumo wa muungano ubadilike. Lakjni pia tanganyika ikitaka na kuridhia kuweka mufumo ya muungano uwe sawa pia tuko tayari kushirikiana na tanganyika kuweka usawa na umoja ili kuweza kuleta maendeleo jumuishi ya tanzania yetu. #katibampya
We Jamaa ni Jinga Kabisa.. Huyo Rais wa Zanzibar kwa Waziri mkuu haoni Ndani.. Kiitifaki
 
Hilo la pesa sawa sio sahihi maana mchango hauko sawa

Mwisho wa.siku tuwe na Serikali moja yenye maeneo yanayojitawala kama Zanzibar ilivyo na Bara iwe hvyo
 
We Jamaa ni Jinga Kabisa.. Huyo Rais wa Zanzibar kwa Waziri mkuu haoni Ndani.. Kiitifaki
Narudia tena, kiuhalisia mfumo wa muungano wetu sio sahihi na ndio maana mwanzoni rais wa zanzibar alikuwa anatakiwa kuwa makam wa raisi iwapo raisi wa tanzania atatoka bara and vice versa. Kasome tena historia ila pia angalia kongamano la leo la muungano na msikilize kabudi kwa umakini alipotolea ufafanuzi juu ya historia nzima ya muungano wa tanzania.
 
Mama anajua sana sema ana mapenzi tu na Zenji. Wakati analengwa na wanasiasa wa Zanzibar kuwa anataka kugombea Urais wa 2020, ilibidi atoe kauli "Mimi sina mpango wa kugombea Zanzibar kwa Muundo wa serikali Mimi ni namba mbili itakuaje nije nigombee cheo cha chini kuliko nilicho nacho?
Kwasababu kapanda cheo ,hivyo amesahau kama alikuwa makamo, kwa mwenendo huu hiyo 4.7 yrs inamtosha sana.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wa vuguvugu la kugombea Urais wa Zanzibar 2020 Mama aliwahi kunukuliwa akisema hawezi kugombea Urais wa Zanzibar kwasababu cheo alichokuwa nacho (VP-URT) ni kikubwa kuliko Urais wa Zanzibar.
 
Narudia tena, kiuhalisia mfumo wa muungano wetu sio sahihi na ndio maana mwanzoni rais wa zanzibar alikuwa anatakiwa kuwa makam wa raisi iwapo raisi wa tanzania atatoka bara and vice versa. Kasome tena historia ila pia angalia kongamano la leo la muungano na msikilize kabudi kwa umakini alipotolea ufafanuzi juu ya historia nzima ya muungano wa tanzania.
Mkuu hio mbona ishavunjwa Kitambo.. Toka miaka ya 90?
 
Ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania......
 
Hilo la pesa sawa sio sahihi maana mchango hauko sawa

Mwisho wa.siku tuwe na Serikali moja yenye maeneo yanayojitawala kama Zanzibar ilivyo na Bara iwe hvyo
Huyu sasa ndo anaongea madini. Yani nchi aiwe yenye mfumo wa majimbo ili kuweza kuleta tija ya jimbo husika. Leo hii ukitoka dar tu kwa upande wa tangangika utadhani hauko tz tena. Sababu mapato mengi sana yanaenda serekali kuu na kisha serekali kuu inaamua yeye maendeleo yaende wapi. Ila tukieka mfumo wa majibo, kila jimbo litaweza retain asilimia fulani ambayo itakuwepo kikatiba kwa ajili ya maendeleo ya jimbo husika na fedha nyengine yaniasilimia iliyosalia iende serekali kuu. Kama wenzetu kenya na US wanavyoufanya.
 
stupid..bungeni pale..mama asilete uzanzibar
Kuna tofauti kati ya kulihutubia bunge na " kuhutubia wananchi kupitia bunge "

Rais Samia alihutubia wananchi kupitia bunge na ilielezwa very clear na Spika Ndugai!
 
Nawasalimu Kwa Jina La
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Ninyi Mtajibu ~~Kazi Iendelee😎☻☹

VC Mwenyewe Wa Baridi Mno Yaani
Kama yeye aliwekwa mfukoni anashindwaje kumumweka huyu kwa kipimajoto!
 
Back
Top Bottom