Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Kikubwa ni katiba mpya ndo tutaacha kujicontradict. Wapinzani walipokuwa wakidai katiba mpya wakati ww uongozi wa jiwe mlikuwa mkiwa tukana,sasa hivi ndo mnaanza kulaumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anajua sana sema ana mapenzi tu na Zenji. Wakati analengwa na wanasiasa wa Zanzibar kuwa anataka kugombea Urais wa 2020, ilibidi atoe kauli "Mimi sina mpango wa kugombea Zanzibar kwa Muundo wa serikali Mimi ni namba mbili itakuaje nije nigombee cheo cha chini kuliko nilicho nacho?
Nahisi ulishawahi kufanyiwa surgery ya ubongo sio bure.Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
Kimuungano Mwinyi ni namba tatu.Hakufanya sawa
Ki protocal, Hussein hana title yoyote kwa sasa kwny Jamhuri zaid ya kuwa Mjumbe tu wa Baraza la Mawaziri
Title ya Rais wa Znz kuwa Makamu wa Rais ilishaondolewa tangu 1994 kwa Ushauri wa Nyerere
Watu wa Protocal na hasa Waandishi wa Hotuba waiondoe hii sintofahamu!
Mkuu mwache Mama afanye yake kwa nafasi. Hivi tumeshasahau mara hii yaliyoji Chato kwa niaba ya Watanzania!Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Nilihoji kwanini Samia amteue Mwinyi kuwakilisha mkutano wa SADC wakati mwinyi anaingia kwenye serikali ya muungano kama waziri, pia tuna makamu wa rais, waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje. Kwa kifupi asituletee uzanzibar wake atabaki one term presidentNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Elimu zao zinatia mashakaWenyewe wala hawawataki , nyie tu ndio mnalazimisha
Soma katiba ya muungano iliyofanyiwa marekebisho baada ya mfumo wa vyama vingi, rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri, kwa muungano ni waziri sio zaidi ya hapoKimuungano Mwinyi ni namba tatu.
Rais Jmhr no 1.
Makamu wa Rais no 2.
Rais Zanzibar no 3.
Spika no 4.
Jaji mkuu no 5.
Jaji mkuu Zanz no 6
Waziri mkuu no 7.
Makamu wa 1 zanzibar no 8
Makamu wa 2 zanzibar no 9
Naibu spika Tz no 10
Spika baraza la mapinduz no 11
Katibu mkuu kiongoz bara 12.
Katibu mkuu kiongoz zanz 13
Ila tukiwa huku Tz
Rais no 1
Makamu no 2
Spika no 3
Jaji mkuu no 4
Wazir mkuu no 5
Katibu mkuu kiongoz no 6
Marekebisho nipo tayari.
Kusema kweli mama anaona Mwinyi ni Rais ni kama hivo kuna kujisahau tu atajirekebisha.
Angalia kiti chake huwa kinakaa wapi ?Soma katiba ya muungano iliyofanyiwa marekebisho baada ya mfumo wa vyama vingi, rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri, kwa muungano ni waziri sio zaidi ya hapo
Kimuungano Mwinyi ni namba tatu.
Rais Jmhr no 1.
Makamu wa Rais no 2.
Rais Zanzibar no 3.
Spika no 4.
Jaji mkuu no 5.
Jaji mkuu Zanz no 6
Waziri mkuu no 7.
Makamu wa 1 zanzibar no 8
Makamu wa 2 zanzibar no 9
Naibu spika Tz no 10
Spika baraza la mapinduz no 11
Katibu mkuu kiongoz bara 12.
Katibu mkuu kiongoz zanz 13
Ila tukiwa huku Tz
Rais no 1
Makamu no 2
Spika no 3
Jaji mkuu no 4
Wazir mkuu no 5
Katibu mkuu kiongoz no 6
Marekebisho nipo tayari.
Kusema kweli mama anaona Mwinyi ni Rais ni kama hivo kuna kujisahau tu atajirekebisha.
Wakati wa kujadili umuhimumu wa muungano umefika. Hauna faida kwa WatanganyikaNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Elimu zao zinatia mashaka
Zanzibar sio nchi
Kasome katiba usiwe unasubiri kusimuliwa hata kiti kingekaa pembeni au chumbani kwa rais.Angalia kiti chake huwa kinakaa wapi ?
Katiba bado inamtambua yeye ni no:3
Hawa ndio wanadai katiba wakati iliyopo hawaielewiHayo ni mawazo yako au ni ibara gani ya Katiba?