Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
shosti kwani kuna sehemu nimelalamika au ndo marinda yanakuwasha?
Uno umano. Mbona kuhusu chato mlikuwa kimya, tulieni tuwaoneshe kwanza mana ishu ya katiba mpya ikiletwa mnasema watu hawali katiba. Ukweli protocol ni kuwa makamu wa raisi wa tanzania hawezi kuwa juu ya rais wa zanzibar ndo mana mama anaeka sawa. Yule ni raisi na mpango ni makam, rasi wa tanzibar nyuma anakaa mjeda yani jeshi alaf ndo usalama na mpango hana ulinzi wa jeshi bali ni usalama pekee. Ndo mana wazanzibari wanalia juu ya muungano sababu hauna usawa kiuhalisia na juzi nilisema mnaongangania muungano ni watanganyika. Mm napenda muungani ila kama mzanzibari na kutokana na mfumo wa sasa najumuika na wazanzibari wenzangu kusema mkiwa tayari kuuvunja sisi tulikw tayari na tuko tayari mda wowote ule na ndomana mashekhe wa muungano wako ndani mwaka wa 8 sasa sababu walitaka mfumo wa muungano ubadilike. Lakjni pia tanganyika ikitaka na kuridhia kuweka mufumo ya muungano uwe sawa pia tuko tayari kushirikiana na tanganyika kuweka usawa na umoja ili kuweza kuleta maendeleo jumuishi ya tanzania yetu. #katibampya