Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Hapa sikubishii sana.. kweli History imekuwa polluted sana.. lakini kwa Mfumo tulionao sasa kiprotokali Mwinyi anatakiwa afate baada ya waziri mkuu.
 
Dr Mwinyi ni Rais wa nchi ya Zanzibar.

Dr Mpango ni makamu wa Rais wa nchi ya Tanzania

Bunge siyo baraza la mawaziri.

Rais wa Tanzania ni sehemu ya bunge

Rais wa Zanzibar hana sehemu bungeni yeye ni " mgeni"

Kazi Iendelee!
Raisi wa JMT, na sio tanzania kwanza. Naomba urekebishe kauli hakuna nchi inaitwa tanzania. Ni jamhuri ya muunganowa tanzania ambayo iliasisiwa na zanzibar na tanganyika.naeka mkazo. Mfumo wa katiba yetu una flaws nyingi na unakinzana sana. Huwezi kuwa na JMT bila ya zanzibartena jnayojitegemea. Kuna haja ya kupitia tena katiba na ifanyiwe marekebisho au tutarudi kuwa muted tena na rais yoyote yule atakae kuja kuongoza kama mwendazake. Ukweli ata hao CCM wanapumulia gesi sasa hivi na wanashukuru mzee magu kupumzika milele. Mana vitu vingi vilikw haviendi sawa. Ndomana sasaivi wabunge wanaongea watakavyo mpaka bale rais samia akiamua kuwamute na ikumbukwe kuwa katika inamruhusu na kumpa nguvu hiyo.
 
Hapa katiba inatuchanganya, kama Rais wa Zanzibar ni mkubwa iweje Rais wa JMT akiwa hayupo kwenye kiti madaraka anapewa makamu sio Rais wa Zanzibar?

Kwa maana hiyo, katiba inatambua akitoka Rais wa JMT anafuata makamu wake sio Rais wa Zanzibar.

Ajabu ya katiba yetu ni kwamba Wanzanzibar wana serikali Yao, watu wa Bara wana serikali ya Muungano. Serikal Yao ni ipi?

Hii katiba yetu inamapungufu mengi, CCM waache ubinafsi, ipo siku nchi itaenda upinzani watasaga meno kwa katiba hii.!!
 
Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.

Wewe ndio zero kabisa.Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri tu.Rais wa Zanzibar ni kama waziri wa Elimu au waziri wa serekali za mitaa.
 
Alafu makamu wa raisi wa bara na raisi wa znz ni watu wawili tofauti kabisa, huwezi kumshusha hadhi kiasi hicho raisi Mwinyi kwa makamu tuuuu. Badilika aise, na futa uzi wako haraka.
Kama yeye alivyosogea hiyo nafasi ndivyo na makamu wake anaweza kusogea tu si Rais wa Zanzibar hivyo ni mkubwa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio zero kabisa.Rais wa Zanzibar ni mkumbe wa baraza la mawaziri tu.Rais wa Zanzibar ni kama waziri wa Elimu au waziri wa serekali za mitaa.
Raisi wa zanzibar ni raisi wa nchi yenye mamlaka kamili. Na ndo anaunda jamhuri ya muungano wa Tanzania. Na sio jamhuri ya muungano wa tanganyika mbona mnakuwa wagumu kuelewa. Tanganyika imefinywa mamlaka na JMT.
 
Labda umesahau kuwa nchi NI Tanzania.
Zanzibar na tanganyika zilikufa tarehe 26 mwezi wa 4.
Rais wa Zanzibar uwa anawekwa Tu kama BOYA kutupumbaza AKILI.
Kasome tena historia ndugu. Serekali ya zanzibar ipo na inatambulika. Labda tu niwahabarishe kuwa, kiti cha Umoja wa mataifa cha JMT ni mali ya SMZ. Na ilikipata kupitia muungano huu mnaouongelea. Tanganyika haina kiti UN. Na tanganyika ndo mnafunga'ang'ania muungano na si zanzibar. Ndo mana hapo mwanzo nilisema mkitaka tanganyika muungano uvunjike wekeni kura za maoni zanzibar musikie wanasema nn kuhusu huu muungano mana mnaona sisi ndo unatunufaisha sana!!!!
 
Kumbe watu wa choko choko wapo wengi,
mimi nilikjua tuu Kutawala Mzanzibari Jamuhuri ya Muungano kelele za kinyamwezi zitakuwa nyingi mnooo

Lakini si mulitaka wenyewe Muungano na Zanzibar, Hamukujua kuwa hii ni nchi ndigo? Unganeni na kenya basi munayolingana ki population kamanyi nyi ni wapenzi wa Umoja wa Afrika.

Yani mimi nashangaa tembo kujisifu kaua sisimizi, au chura.
Madhali mumeungana na Nchi huru iitwayo Jamhuri ya watu wa Zanzibar' hamuna budi kukubali yale ambayo wazanzibari nao wameyavumilia siku nyiingi.

Naamini Mutatamani kubadilisha Katiba Mwakahuu ili kuziba Mwanya wa Zanzibar kuweza kushika Madaraka Jamuhuri ya Muungano,
Lakini Mukija naajenda hiyo na Waznzibari watakuja na ajenda ya kutawala kwa ZAMU.

Mwaka huu mutajifunza kutamba ubaya wa kushikiwa madaraka na mamlaka yako na usiyempenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…