Ndio imeleta huu mtafaruku mpaka mleta mada analalamika. Na hatuishii hapo tu, mfumo wa muungano una flaws nyingi. Imagine leo hii kabudi anaongea vitu ambavyo mimi na ww km sio wafuatiliaji wa vitu hatuvijui. Yani historia ya nchi hatufundishi na tukifundishwa inapambwa sana ili tuone vitu viko perfect na ukweli ukisemwa km ulikw unamuheshimu nyerere utaacha sababu hata uchumi wa Tanzania kushuka miaka ya 70 na 80 ulichangiwa na uongozi mbovu wa nyerere uliopelekea kutuingiza kwenye vita vya kijinga vya Uganda lakni hii topic nyengine sasa. Tusi deviate na mada watz hawajui historria yao, yani kiutawala pwani yote ya tanganyika ilikw ni himaya ya zanzibar ila usisome vitabu ww peruzi porno alafu ita watu wajinga.