Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Mkuu, nadhani umepotoka kidogo. Rais wa nchi inayoitwa Tanzania ni SSH na makamu nia PIM. Mpango ndiye tu anayeweza kuwa Rais wa Jamhuri kama yatamkuta SSH yaliyomkuta JPM. Mpango ni mkubwa kuliko Rais wa Zanzibar.

Tunasemaga hapa muungano huu una kasoro na mnakataa. Tanganyika haina Rais lakini Zanziba ina Rais. Ingefaa basi Mpango awe ni Rais wa Tanganyika na mama wa Jamhuri ili unachokisema kiwe na maana.
Kwanza Tanganyika ipo?
 
Rais wa Zanzibar si amir jeshi mkuu,fahamu hilo kwanza,ukimaliza fahamu nchi moja kamwe haiwezi kuwa na marais wawili.Ndio maana Zanzibar hawana bunge wana baraza la wawakilishi.Zanzibar ni sehemu ya JMT ukiiondoa Zanzibar hakuna JMT.
Kwani mantiki ya baraza la wawakilishi ni nn. Tatizo wabongo hatujui historia ya nchi yetu. Tanzania ni jamhuri na jeshi ni la JMT. Na ndomana haitakuja siku stakabadhi sijui zikaekwa wazi za utiaji saini wa muungano. There is a lot you guys dont know mnakurupuka na hoja zenu. Hamjui ata kwa nini karume aliuwawa. Hamjui kitu inshort mana hatufundishwi mashuleni historia yetu lkn tukiambiwa majukwaani inawekewa mapambiko. Muungano ulivyosainiwa mambo yote yanayohusu muungano ikiwepo na jeshi la tz yani JWTZ yako chini ya muungano. Na undani ni kwamba Rasi wa JMT hana mamlaka kamili ya kuendesha jeshi hilo.
 
Kamuulize Nyerere ilikuwaje katiba ya Tanganyika ndo ikawa katiba ya Muungano? Halafu nyie hio ardhi yote bara haijakutosheni mpaka mje kutuchukulia na hichi kiardhi kidogo tulichonacho?

Kwa taarifa yako Rais wa Zanzibar ni mkubwa kuliko Makamo wa Rais.

Mliambiwa mueke serekali 3 mkakataaa sasa ndo mnajichanganya kama hivi. Kuna mambo mengi hayaingii akilini , huku zanzibar jimbo unaweza kulitembea kwa miguu kwa muda wa nusu saa tu, lakini lina mbunge na muwakilishi, mbunge ambae anakuja huko bara kuja kujadili mambo ya Tanganyika. Haiingii akilini ni kupoteza tu fedha za walipa kodi lakini serekali ya CCM haina hasara. Kwa nn hawa hawa wawakilishi wasikutane na wenzao wabara wakajadili mambo ya Muungano , na mambo ya Tanganyika waachiwe watanganyika wenyewe?
Wambie hao Wala panyaa
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Lakasa chika7 Hivi pesa za Tanganyika zitaingia kwenye akaunti gani?
 
Hapo hakuna mjadala.
SERIKALI NI MOJA TUUU YA YA TANZANIA.
huo mkoa WA Zanzibar mkuu wake NI mkuu wa mkoa mwinyi
Anatakiwa awe governor wa unguja na governor wa pemba, governor wa pwani (yani dar na pwani) na kuwepo magovernor kila mkoa wa tanzania na mamayor. Tatizo waasisi wa nchi walikuwa wezi wa madaraka. Walibadilisha mifumo baada ya independence ili raisi awe na mamlaka yote. Yani walikw waroho wa madaraka
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
She is there by default. She is struggling! So she will be there for 15 years? Hii si anamalizia miaka ya Magufuli. It’s a very sad confusing situation. She will be more powerful when she becomes Party chairman. Mama Samia, please get rid of Polepole first. He is so annoying
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Mambo ya "kwetu kwanza kwa wengine baadae" yalianzia awamu ya 5 tukayanyamazia kama hayapo vile.

Kama mlishindwa kumzuia yule mwengine mwacheni mama naye aliendeleze libeneke kwa raha zake!
 
Hakufanya sawa

Ki protocal, Hussein hana title yoyote kwa sasa kwny Jamhuri zaid ya kuwa Mjumbe tu wa Baraza la Mawaziri

Title ya Rais wa Znz kuwa Makamu wa Rais ilishaondolewa tangu 1994 kwa Ushauri wa Nyerere

Watu wa Protocal na hasa Waandishi wa Hotuba waiondoe hii sintofahamu!

Yaani kama JPM alivoijenga na kuiinua Chato; nitafarijika sana SSH naye akiinua Zanzibar! Ikitokea hivyo lazima Katiba Mpya itakuwepo na Tanganyika yetu itarudi!!
 
Anatakiwa awe governor wa unguja na governor wa pemba, governor wa pwani (yani dar na pwani) na kuwepo magovernor kila mkoa wa tanzania na mamayor. Tatizo waasisi wa nchi walikuwa wezi wa madaraka. Walibadilisha mifumo baada ya independence ili raisi awe na mamlaka yote. Yani walikw waroho wa madaraka
Shika adabu yako Zanzibar no kubwa kuliko Tanganyika nzima
 
Labda umesahau kuwa nchi NI Tanzania.
Zanzibar na tanganyika zilikufa tarehe 26 mwezi wa 4.
Rais wa Zanzibar uwa anawekwa Tu kama BOYA kutupumbaza AKILI.
Zanzibar haijafa, Tanganyika ndio imekufa
 
Kwa mara ya mwisho naelezea ili km hamtaki kuelewa.... rais samia ni raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambayo rais mwinyi ni mmoja wapo anaeunda jamhuri hiyo ya tanzania. Rais samia sio raisi wa jamhuri ya muungano wa tanganyika. Sijui umeelewa mantiki ya hiyo kitu
Na mimi nakwambia hivi, masuala ya kimataifa ni masuala ya serikali ya muungano, si masuala ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.

Ndiyo maana Salmin Amour alivyotaka kuiingiza Zanzibar kuwa mwanachama wa OIC kinyemela kukazuka mgogoro wa kikatiba mpaka akachomoa.

Unakumbuka?

Ulikuwa umezaliwa?

Sasa, kumpeleka rais wa Zanzibar katika mkutano wa kimataifa wakati kuna Rais wa Tanzania, kuna Makamu wa Rais wa Tanzania, kuna Waziri Mkuu wa Tanzania, kuna Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, ni kuchanganya kazi.

Katika katiba kuna mambo yametajwa kuwa haya ni mambo ya muungano, yanatakiwa kufanywa na serikali ya muungano. Mahusiano ya kimataifa ni moja ya hayo.

Kumpa mtu anayeongoza serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kazi za serikali ya muungano za kimataifa ni kuchanganya mambo.

Huyo Rais Samia kuna mambo anafanya anayajua mwenyewe, na yanaweza kuwa na matokeo mabaya sana.
 
Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!

Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.

Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.

Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.

Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.

Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.

Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu

Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.

Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Kuhusu kununua ardhi Zanzibar inawezekana sana,kuna wabongo kibao wamenunua ardhi maeneo mjini wamejenga lodges,guest houses kibao,ukienda hata UROA,Pongwe,ardhi ya kununua ipo,ushindwe wewe tu kwa kukosa pesa.
 
Mama yetu raisi anaanza na raisi wa Zanzibar sababu ni mgeni mualikwa kama heshima ya mgeni halafu anakuja kwa viongozi wa jmt
 
9 Mar 2017
Dr. Shein afoka Tishio la Rais wa serikali ya Muungano kuzima umeme Zanzibar bila kumuhusisha
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema serikali yake haitishiki na tishio la kukatiwa umeme na iko tayari kutumia vibatari na deni linalodaiwa sio la leo wa jana.

Magufuli aagiza Tanesco kuwakatia umeme wasiolipa Tanzania​

6 Machi 2017
Rais Magufuli ameagiza Tanesco kuikatia umeme serikali ya Zanzaibar na wengine wote wanaodaiwa na Tanesco

Maelezo ya picha,
Rais Magufuli ameagiza Tanesco kuikatia umeme serikali ya Zanzaibar na wengine wote wanaodaiwa na Tanesco
Rais wa Tanzania John Magufuli jana aliiagiza kampuni ya ugavi wa umeme nchini humo (Tanesco) kuwakatia umeme wateja wote wenye madeni makubwa kwa kampuni hiyo, ikiwemo serikali ya Zanzibar, limeripoti gazeti la The Citizen.
Akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi kwenye kituo kipya cha Tanesco mkoani Mtwara, rais Magufuli alisema kuwa tasisi zote za umma zinapaswa kulipa madeni la sivyo zitakatiwa umeme.
Alisema kuwa serikali ya Zanzibar pekee , kupitia shirika la umeme za Zanzibar (Zeco), ina deni la Tanesco kiasi cha shilingi bilioni 121 za Tanzania.
"Msiogope mnapaswa kukata huduma hii kwa taasisi yoyote ambayo hailipi bili zake.Nataka kumwambia waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kwamba umeme unapaswa kukatwa hata Ikulu. Nikilala gizani, halafu maafisa wa Ikulu ambao hawajalipa watawajibika na sio wewe. Una hakikisho langu kwa hili.
Pesa za kulipa bili kawaida hutolewa kwa wizara zetu, lakini badala yake hupelkwa kwingine
."ninaambiwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haijalipa Sh121 billion. Ninyi (Tanesco) si wanasiasa...mnapaswa kuzingatia majukumu yenu ya kitaaluma...kata huduma ya umeme.Nimesema hata kama ni Ikulu , polisi, jeshi ama shule , hakuna mwenye deni anaepaswa kuachwa . Ni kwa njia hii tu tunaweza kuhakikisha kwamba pesa zilizotengewa wizara kwa ajili ya umeme zinatumiwa kama ilivyopangwa ili Tanesco iweze kuendesha kazi zake na kushughulikia matatizo ya uhaba wa umeme. ''Tanesco haiwezi kuboresha huduma kwa sababu ya madeni ya serikali yasiyolipwa''.
Alipozungumza na gazeti la Citizen jana , Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa pili wa rais , Bwana Mohammed Aboud, alisema kuwa mipango inafanyika kwa ajili ya kuliwezesha shirika la Zeco kulipa madeni ya Tanesco.
"Maagizo ya rais Magufuli yako wazi. Madeni lazima yalipwe na yatalipwa. Tumeanza mchakato wa kuhakikishwa suala hili linatatuliwa.Pia tumeiagiza Zeco kuacha kulimbikiza madeni mapya.
Mawaziri hao wawili walifanya mkutano juu ya suala hilo hivi karibuni na kujadili namna deni hilo linavyoweza kulipwa ," Bwana Aboud aliliambia gazeti la The Citizen

Unaona mambo ayo na hii ndo ilopelekea muungano kuata kuvunjika in the 70s na kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa muheshimiwa karume. Nyerere alimobolize jeshi la muungano JWTZ bila ya ridhaa ya karume ukazuka ugonvi ola most us tulikw hatujazaliwa sijui wakakubaliana kutunga uongo kama3wa 911 na libya badae watu wanagubuka mshadanganywa
 
Kasome tena historia ndugu. Serekali ya zanzibar ipo na inatambulika. Labda tu niwahabarishe kuwa, kiti cha Umoja wa mataifa cha JMT ni mali ya SMZ. Na ilikipata kupitia muungano huu mnaouongelea. Tanganyika haina kiti UN. Na tanganyika ndo mnafunga'ang'ania muungano na si zanzibar. Ndo mana hapo mwanzo nilisema mkitaka tanganyika muungano uvunjike wekeni kura za maoni zanzibar musikie wanasema nn kuhusu huu muungano mana mnaona sisi ndo unatunufaisha sana!!!!
Wanapiga sana kelele wala hawana walijualo kuhusu huu Muungano, na wanahisi Zanzibar ilizuka baada ya 1964.
 
Muungano ulivyosainiwa mambo yote yanayohusu muungano ikiwepo na jeshi la tz yani JWTZ yako chini ya muungano. Na undani ni kwamba Rasi wa JMT hana mamlaka kamili ya kuendesha jeshi hilo.

Tunaona kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kuwateua maofisa wa TPDF / JWTZ kuongoza vikosi maalum vya usalama, ulinzi na valantia. Makamu wa Rais wa Muungano hana nafasi hiyo bila kukasimiwa na Rais wa Muungano

President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Toggle navigation
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

MEDIA » NEWS AND EVENTS​

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Makamanda wapya aliowateua waende wakajenge na kurudisha nidhamu katika vikosi hivyo​

  • 24 Apr 2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Commodore Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Makamanda wapya aliowateua kuwa Wakuu wa Vikosi Maalum vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,waende wakajenge na kurudisha nidhamu katika vikosi hivyo.Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Makamo wa Kwanza wa Rais Othman Masoud, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar Othman Makungu, Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, viongozi wa dini, watendaji wa Serikali na wanafamilia.

Alisema kwamba Jeshi ni nidhamu na ikikosekana nidhamu hakuna Jeshi, hivyo, nidhamu ilitetereka katika vikosi na ndipo alipoamua kuwachangua Makamanda hao ili walete uzoefu wao wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa aliona haja na sababu ya kuwatumia Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania ili waweze kuiweka nidhamu katika vikosi vya SMZ.

Aliwapongeza Wakuu wote wa Vikosi aliowaapisha hivi leo na kutaka wakafanye kazi kwa bidii na kuwataka askari na Maafisa wote wa vikosi vya SMZ kutokuwa na wasiwasi kwani lengo lake ni kujenga ili vikosi viwe madhubuti, vilivyowezeshwa na kuwa na mafunzo ya kutosha.Mapema Rais Dk. Mwinyi ambaye pia, ni Mkuu wa Vikosi hivyo kabla ya kuwaapisha Wakuu hao kwa mujibu wa Sheria aliwapaindisha vyeo vya Ukuu wa Vikosi hivyo ya SMZ.

Pia, alitumia fusra hiyo kumshukuru Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Simon Siro kwa kukubali pendekezo lake la kuwateua Makamanda hao na kusisitiza kwamba yeye alikuwa na lengo la kutafuta viongozi na sio wataalamu kwani anachotaka ni viongozi na si fani zao.

Walioapishwa katika hafla hiyo ni Kanali Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM), Kanali Makame Abdallah Daima kuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), Kanali Rashid Mzee Abdallah kuwa Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Ukozi.

Wengine ni Luteni Kanali Khamis Bakari Khamis kuwa Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo, Luteni Kanali Burhani Zubeir Nassoro kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya pamoja na ACP Ahmed Hamis Makarani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA)
Source : Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Makamanda wapya aliowateua waende wakajenge na kurudisha nidhamu katika vikosi hivyo | Presidents Office Zanzibar
 
Hujaelewa ndugu, kunatakiwa kuwe na serekali moja ya JMT, na kila mkoa uwe na governor yani kwa upande wa znz kuweka governor wawili mmoja unguja na mwengine pemba. Hivyohivyo na bara mikoa yote iwe na magovernor ili maendeleo yawe jumuishi na sio baadhi ya mikoa inaachwa nyuma. Nadhani nitakuwa nimerekebisha kauli.
Shika adabu yako Zanzibar no kubwa kuliko Tanganyika nzima
 
Back
Top Bottom