Yohanna Mbatizaji habari yako bwana?Bwashee umeeleweka, hoja zako zimepokelewa.
Ahsante!
Kwani mzee Mgaya anasemaje?Bwashee umeeleweka, hoja zako zimepokelewa.
Ahsante!
Yupo Uganda bwashee!kwani mzee mgaya anasemaje?
Bwashee umeeleweka, hoja zako zimepokelewa.
Ahsante!
Ahsante sana dadangu!Yohane Mbatizaji unaelewaga sanaaaaa
Uwe na siku njema my bro
wewe hukuona kila mwenye nia njema ya kupiga kelele alipotea? ulitaka tupotee je leo tungepiga vipi? tunatoa ushauri kwa kuwa tuna imani aliyepo sasa ana sikiliza. sio kusikiliza tu bali anatoa hata hiyo nafasi ya sisi kutoa ushauri.Miezi miwili hii makelele mengi
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano...huu ni unafiki
Ungejua namna tulivyokuwa tunapigwa ban kwa kumpiga spana za uhakika wala usingesema hayo! Jamii forums waliomba poo kwa kuogopa viongozi wao wangefungwa!Pls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
upooooooYohane Mbatizaji unaelewaga sanaaaaa
Uwe na siku njema my bro
Sio unafiki bro, ni woga! Yule jamaa alikuwa kama Dracula, ukiingia anga zake unapotea. Bora huyu ukimzingua mnazinguana! Ndiyo maana sasa unaona watu wanajiachia ki roho safi katika nchi yao!Miezi miwili hii makelele mengi
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki