Hapo ndiyo huwa tunatofautisha ujinga na upumbavu kwa sababu mtu mwenye akili zake timamu hawezi hata kumfikiria!Acha kumfananisha magufuli na vitu vya ajabu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Referee kwenye hiyo nafasi huwa wananchi wa kawaida sio JF kwa majority. Kauli za angekuwepo fulani haya mambo yasingekuwepo au tulishaanza sahau zinarudi kwa kasi mtaani.Duh, kauli nzito sana hii.
mzee mgaya nimempita kihesa anakula karanga za kuchemsha wewe kakudanganya yupo uganda.Yupo Uganda bwashee!
Amafenya nini kuonyesha she’s superb zaidi ya kuuza sura tu, kwa sasa hatuna Rais labda 2025 CCM wakipata akili watatupa Rais.Pls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
Baada ya miaka mitano tutakuja kuangalia tena hizi graph kuona alipofikiaEneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni uhaini na lazima atakuja kuchukuliwa hatua bila kujali kinga za Urais. Mila na utamaduni wa Taifa lo lote hudumisha na kuimarishwa na katiba yake.
Eneo la pili na uhuru na haki ya wananchi wote bila kujali cheo cha mtu au nafasi yake katika jamii. Hivi sasa kuna watu wanajiona wana haki zaidi ya wengine na hivyo kufanya vitendo vya uonevu na dhuluma dhidi ya wengine. Kuna watu wanasota magerezani bila kuhukumiwa na wengine wamehukumiwa kwa uonezi na husda. Hii si sawa kabisa, Rais Samia anapaswa kuchukua hatua za haraka ikiwa ni pamoja na kuunda tume huru ya kijaji kuchunguza haki za wote waliopo mahabusu na gerezani.
Eneo la tatu ni kusikilizwa kwa maoni na vilio vya wananchi bila kujali itikadi zao za kisiasa. Pamoja na kuwa na katiba na sheria zilizopo lakini watu wengi wamekuwa wakiathirika na baadhi ya vifungu vya sheria hizo kwa sababu ni za uonevu na zimetungwa kulinda maslahi ya baadhi ya watu.
Aidha kuna sheria zimetungwa kudhibiti baadhi ya watu na vyama vya siasa bila kuzingatia haki zao za msingi za kikatiba. Kwa hiyo kilio cha kupata katiba mpya ambayo itaendana na wakati wa sasa ni muhimu kusikilizwa na pia kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatoa haki sawa kwa kila mtu na vyama vyote vya siasa.
Siyo suala la CCM kukubali bali itategemea kelele za wananchi na uhalisia wa maisha yao!Amesikia ila je hao CCM watakubali? maana akitaka kufanikiwa kwa hayo hapo juu ni lazima afute baadhi ya sheria kandamizi ambazo CCM imezitunga makusudi
Usimwambie NTU yeyoyte utapoteza bahati😎Sema kweli😃😃😃
Bwashee umeeleweka, hoja zako zimepokelewa.
Ahsante!
Kwani huyo dikteta muuwaji yuko wapi na anasemaje? Maoni yake pliiz!Miezi miwili hii makelele mengi.
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.
Bwashee umeeleweka, hoja zako zimepokelewa.
Ahsante!
Hahahaaaa.......!mzee mgaya nimempita kihesa anakula karanga za kuchemsha wewe kakudanganya yupo uganda.
Mama aachwe afanye kazi hakuna haja ya kumtishatisha! Mbona kwa Jiwe mliufyata! Msimjaribu!!Eneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni uhaini na lazima atakuja kuchukuliwa hatua bila kujali kinga za Urais. Mila na utamaduni wa Taifa lo lote hudumisha na kuimarishwa na katiba yake.
Eneo la pili na uhuru na haki ya wananchi wote bila kujali cheo cha mtu au nafasi yake katika jamii. Hivi sasa kuna watu wanajiona wana haki zaidi ya wengine na hivyo kufanya vitendo vya uonevu na dhuluma dhidi ya wengine. Kuna watu wanasota magerezani bila kuhukumiwa na wengine wamehukumiwa kwa uonezi na husda. Hii si sawa kabisa, Rais Samia anapaswa kuchukua hatua za haraka ikiwa ni pamoja na kuunda tume huru ya kijaji kuchunguza haki za wote waliopo mahabusu na gerezani.
Eneo la tatu ni kusikilizwa kwa maoni na vilio vya wananchi bila kujali itikadi zao za kisiasa. Pamoja na kuwa na katiba na sheria zilizopo lakini watu wengi wamekuwa wakiathirika na baadhi ya vifungu vya sheria hizo kwa sababu ni za uonevu na zimetungwa kulinda maslahi ya baadhi ya watu.
Aidha kuna sheria zimetungwa kudhibiti baadhi ya watu na vyama vya siasa bila kuzingatia haki zao za msingi za kikatiba. Kwa hiyo kilio cha kupata katiba mpya ambayo itaendana na wakati wa sasa ni muhimu kusikilizwa na pia kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatoa haki sawa kwa kila mtu na vyama vyote vya siasa.
Miezi miwili hii makelele mengi.
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.