Rais Samia aambiwe ukweli, vinginevyo Taifa litaangamia


Akae kwa kutulia c alikubali kula kiapo mwenyewe kwan alijua uraisi ni kiremba cha uchawi apambane aache kulala hovyo. Kazubaa sana bhana utadhan anaongoza vicoba mxiew
 
Miezi miwili hii makelele mengi.

Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.

Ndo ujue sasa hivi hatuna kiongozi , watu haya mambo hayakuwepo, mwanaume akikohoa tu watu lazima waulizane magu anataka nini
 
Miezi miwili hii makelele mengi.

Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.

Kiongozi usipokua makini na mwenye uthubutu na mwenye misimamo thabiti, wananchi hawawezi kukupanda kichwani , huyu Mama watampa headache akiendelea kuwa soft , hii nchi magufuli ndo alikua anaiweza bwana
 
Sio unafiki bro, ni woga! Yule jamaa alikuwa kama Dracula, ukiingia anga zake unapotea. Bora huyu ukimzingua mnazinguana! Ndiyo maana sasa unaona watu wanajiachia ki roho safi katika nchi yao!

Mama ana mikwara tu , amzingue nani ? Magufuli ndo alikua mafia sasa, magufuli hapelekeshwi kama Mama, Mama anapewa maagizo mengi Ndio maana inam cost hafanyi yeye kama yeye
 

Hakuna kama magufuli , tumeshaanza kuona pengo lake, vizuri huwa havidumu kwa kweli
 
Watanzania siku zote wakipewa uhuru Wana uabuse wakinyimwa wanalalamika, kiufupi mama asisikilize kabisa kelele za mtandaoni, afanye anayoona yanafaa ili mradi iwe ni kwa nia thabiti ya kuiletea nchi maendeleo huku akifuata katiba bhasi. Watanzania ujuaji. Mwingi Sana pumbavu.
 
Hizo zote hoja za wanasiasa hakuna hoja inayogusa maisha ya watu wa kawaida.
 
Mama aachwe afanye kazi hakuna haja ya kumtishatisha! Mbona kwa Jiwe mliufyata! Msimjaribu!!
Wewe ndiye uliufyata wengine tulimpiga spana mpaka akaanza kutumia wasiojulikana kupoteza watu!
 
Rais ni taasisi
 
Mama ana mikwara tu , amzingue nani ? Magufuli ndo alikua mafia sasa, magufuli hapelekeshwi kama Mama, Mama anapewa maagizo mengi Ndio maana inam cost hafanyi yeye kama yeye
sorry mama anapewa maagizo? na nani?
rais anapewa maagizo na nani?
 
Naunga mkono hoja yako
 
Rais ni taasisi
Hiyo taasisi ya Rais inaitwaje?

Msamiati wa Rais ni taasisi ulianza enzi za marehemu Mkapa baada ya kuteua washauri wengi wa kumsaidia katika nyanja mbalimbali.

Alipokuja Kikwete hakuwahitaji sana washauri na badala yake kama aliona mtu fulani anafaa katika kusimamia eneo fulani alimteua katika nafasi ile. Kumbuka aliwahi kusema " Urais wangu hauna ubia na mtu ye yote".

Kipindi kilichopita cha Magufuli washauri hawakuwa na kazi yo yote kwani hakuna aliyeaminiwa na kazi zote alifanya mwenyewe hata za mawaziri!

Hivi sasa msamiati huu umeanza kurudi baada ya Rais Samia kuteua watu kadhaa kama washauri wake katika masuala mbalimbali.

Kwa kifupi hakuna taasisi ya Rais bali kuna mtu Rais ambaye yeye ni kila kitu katika kuongoza nchi.
 
Miezi miwili hii makelele mengi.

Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.
Hao ndo wabongo,alivyokuwepo chuma midomo iliwekwa zipu,hata kufanya maandamano feki walishindwa,leo kidogo tu kelele kibao kama vile hata kwenye maisha yao wanaweza fanya mambo yote kwa mkupuo
 
Comments reserved
 
Yaani kaandika maoni kama anamshuri jiwe na sio Samia au mi ndo sijui kusoma vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…