Mimi Ni CHADEMA lakin pesa zipo wanatoa nimeshuhudia uncle wangu alipata akanunua sabufa na nyingine katumia then navyojua hii mikopo Serikali haiwez kukudai Kama hile ya Finca
Mimi Ni CHADEMA lakin pesa zipo wanatoa nimeshuhudia uncle wangu alipata akanunua sabufa na nyingine katumia then navyojua hii mikopo Serikali haiwez kukudai Kama hile ya Finca
Naona watu wanakuwa waoga wanasema ili upate lazima connection, napinga.
Sisi kwenye kikundi chetu tulipata hatukuwa na connection kabisa. Ila changamoto tulichelewa sana kupata mkopo nadhani karibu miezi 9 hivi.
Yaani tunapata mkopo hadi mawazo yameshakauka kichwani. Siku hizi nasikia fasta tu maana kuna watu huwa nawatengenezea katiba wanasema hivyo.
Mimi binafsi sitaki tena mkopo kwa vile muda wa kusimamia biashara na presha zake sina na sitaki, nakunywa bia tu. Bora kuajiriwa tu hata ukizembea au usipoenda unalipwa. Lakini biashara ukizembea inakuadhibu na watu wanaona kabisa.
The greatest form of dictatorship arises from greatest form of democracy, and vice versa.
IPO siku Rais atachukua maamuzi, tena naomba iwe sasa.
Hatuwezi kuwaogopa wezi wa mali zetu, yawapasa watuogope wao.