Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Hii hofu kubwa hivi kwa Rais kuwa mwenyekiti inasababishwa na nini?

Rais makini, wasaidizi bora na taifa imaraimara

Kazi iendelee
Hofu ni 2025 hakuna jingine. Kete ya kuwa hii ni awamu ya 5 imefeli sasa kete iliyopo ni uenyekiti.
 
CCM kuna mijitu imejaa tamaa sana. Mbona wakati wa Magu hamkusema hivi, au Kikwete? Mpende msipende mama ni matokeo ya Magu mwenyewe so vuneni mlicho panda sio kujikuta sasa hivi ndio mnajua zaidi demokrasia ya chama baada ya miaka 40 ya chama!
 
Wenyeviti wote waliotangulia walipewa cheo hicho wakiwa ni marais kwanini Rais Samia asipewe uenyekiti akiwa ikulu?.

Mawazo mengine hayana mantiki yoyote. Kuna watu watateseka sana miaka hii kuelekea 2025, wanatamani kumlaumu JPM lakini kwa sasa ameshapumzishwa ndani ya nyumba ya milele. Wangeweza wangerudisha nyuma siku ili mawazo yao yaweze kufanyiwa kazi.

Rais Samia ni hiyo hiyo atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Kwa mwendo huku,hado kidogo tupate pa kuanzia. Tulitakiwa tuwe na kipindi cha mputo cha miezi sita kumwangalia kama uRais amemudu then tuweze kumpatia uwenyekiti. Sasa ni mapema sana kumpatia madaraka yote kwa muda mfupi na kwa wakati mmoja.
 
Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!

Unapouliza Kwanini sasa na Mimi nitakuuliza unataka hadi watoto wangapi walawitiwe?
 
CCM kuna mijitu imejaa tamaa sana. Mbona wakati wa Magu hamkusema hivi, au Kikwete? Mpende msipende mama ni matokeo ya Magu mwenyewe so vuneni mlicho panda sio kujikuta sasa hivi ndio mnajua zaidi demokrasia ya chama baada ya miaka 40 ya chama!
Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!

Unapouliza Kwanini sasa na Mimi nitakuuliza unataka hadi watoto wangapi walawitiwe?
 
c'mon guys mbona wakati No anabadili katiba y chama kutaka rAis ndio awe mWenyekiti wa chama hamkuyasema haya
 
Hofu ni 2025 hakuna jingine. Kete ya kuwa hii ni awamu ya 5 imefeli sasa kete iliyopo ni uenyekiti.

Watu wazandiki kwelikweli😅😅
Ila wajue historia ya urais wa nchi hii sio nyepesi hivyo
 
c'mon guys mbona wakati No anabadili katiba y chama kutaka rAis ndio awe mWenyekiti wa chama hamkuyasema haya
Ni kwasababu aliguwa Mungu mtu! Ndiyo maana tunaomba kofia hii itenganishwe
 
Umeongea kama mtu mwenye akili timamu.. Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…