johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sisi kanda ya nyanda za juu kusini hatuna maneno bwashee!Heee....mbatizaji umepiga u turn au?? Ww nae ni kama job
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi kanda ya nyanda za juu kusini hatuna maneno bwashee!Heee....mbatizaji umepiga u turn au?? Ww nae ni kama job
Ndio wenye chama kwa sasa bwashee!
Tangu wampoteze mpendwa wao wana stress sanaKanda ya ziwa mna nongwa sana!
Hofu ni 2025 hakuna jingine. Kete ya kuwa hii ni awamu ya 5 imefeli sasa kete iliyopo ni uenyekiti.Hii hofu kubwa hivi kwa Rais kuwa mwenyekiti inasababishwa na nini?
Rais makini, wasaidizi bora na taifa imaraimara
Kazi iendelee
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!
Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!
Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!
Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!
Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!
Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!
Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!
Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!
View attachment 1766130
View attachment 1766131
View attachment 1766132

Kwa mwendo huku,hado kidogo tupate pa kuanzia. Tulitakiwa tuwe na kipindi cha mputo cha miezi sita kumwangalia kama uRais amemudu then tuweze kumpatia uwenyekiti. Sasa ni mapema sana kumpatia madaraka yote kwa muda mfupi na kwa wakati mmoja.Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!
Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!
Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!
Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!
Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!
Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!
Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!
Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!
View attachment 1766130
View attachment 1766131
View attachment 1766132
Muajijua wenyewe
sawa profesa mchembeJifunze kuwa tafakari kabla ya kuongea!
Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!Wenyeviti wote waliotangulia walipewa cheo hicho wakiwa ni marais kwanini Rais Samia asipewe uenyekiti akiwa ikulu?.
Mawazo mengine hayana mantiki yoyote. Kuna watu watateseka sana miaka hii kuelekea 2025, wanatamani kumlaumu JPM lakini kwa sasa ameshapumzishwa ndani ya nyumba ya milele. Wangeweza wangerudisha nyuma siku ili mawazo yao yaweze kufanyiwa kazi.
Rais Samia ni hiyo hiyo atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!CCM kuna mijitu imejaa tamaa sana. Mbona wakati wa Magu hamkusema hivi, au Kikwete? Mpende msipende mama ni matokeo ya Magu mwenyewe so vuneni mlicho panda sio kujikuta sasa hivi ndio mnajua zaidi demokrasia ya chama baada ya miaka 40 ya chama!
Hofu ni 2025 hakuna jingine. Kete ya kuwa hii ni awamu ya 5 imefeli sasa kete iliyopo ni uenyekiti.
Wanamjaribu SASHA. Kuanzia tarehe 1 wengi wataanza kusifu na kuabudu.Watu wazandiki kwelikweli😅😅
Ila wajue historia ya urais wa nchi hii sio nyepesi hivyo
Ni kwasababu aliguwa Mungu mtu! Ndiyo maana tunaomba kofia hii itenganishwec'mon guys mbona wakati No anabadili katiba y chama kutaka rAis ndio awe mWenyekiti wa chama hamkuyasema haya
Umeongea kama mtu mwenye akili timamu.. HongeraHili swala nakumbuka lilikua linajadiliwa kwa shauku humu ilikua unakuta mtu anaandika "Ngoja tingatinga awe mwenyekiti asafishe mpaka huko" leo Rais kawa mwingine ndiyo mada imehama.
Anyway, Rais wa nchi anaingia chamani kwake kisha huko kuna mwenyekiti as in Rais anatakiwa areport kwa huyu mwenyekiti? Inaingia akilini?
Kama concern ni kukosolewa. JK alikosolewa, SSH hajaogopa kukosolewa in fact ameencourage kukosolewa. Rais pekee ambaye kukosolewa kwake ilikua ngumu ni ambaye hata mada za kutenganisha urais na uenyekiti hazikuandikwa.
Mimi ninachoona, Uenyekiti wa Chama uwe ceremonial.