Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Umeenda mbali mkuu, Jumbe alipofutwa uanachama na Urais SMZ Ukaishia hapo hapo......Let's say kuna mgogoro kati ya raisi mwenye nguvu ya Dola na mwenyekiti wa chama...
raisi kwa hasira anaweza kuanza kufeva chama pinzani at the detriment of fisiemu.....
issue kama hii iliwahi kutokea Malawi...
Hawa ndiyo wanafiki wenye PHD mkuuHii hoja mbona haikuletwa kipindi cha jiwe?
Kwanini iwe Kwa SAMIA?.
Swali la msingi sana..Kwa nini wakati wa Samia?.
Nimeshajibu ni kwasababu tumeona kasoro kwa mtangulizi wakeSwali la msingi sana..
Nilichotaka kuandikaUmeandika nini
Kwanza CCM wana utamaduni wao usemao "Tumekukabidhi Urais na Chama". Hii ina maana ukimaliza miula yako miwili utukabidhi Rais Mpya na Chama chetu.Hakuna kutenganisha urais na uenyekiti mpaka mtueleze kwanini kwa John mliona ni sawa ila siyo kwa Madame President.
Yaani unavyo attack ukanda utazani hoja yangu imekuja na picha ya ziwa Victoria!Hili halikuwezekani wakati wa mwendazake na halitawezekana sasa. Kama likiasisiwa na kanda ya Ziwa litakuwa baya zaidi na kuleta mtafaruku mkubwa sana na mgawanyiko mkubwa. Nchi sii ya kanda moja tu. Utaifa wetu umeenda wapi?
Ha haha haaa jiwe alisaga akili zenu mpaka mkawa mtumia vichwa kufugia nywele tu poleni sanaHata kwenye mechi kocha huona umhimu wa mabadiliko baada ya kuona makosa!
Wameshajifunza toka walivyokuwa wanapelekeshwa na mwendazake. Wakijani walikuwa hawana sauti zaidi ya kusifu na kujipendekeza ili waendelee kulea matumbo yao.Kwanini hili linasemwa leo Kulikoni?
Marehem Magufuli mlimpa MDA gani kabla ya kumkabidhi uenyekiti.Kwa mwendo huku,hado kidogo tupate pa kuanzia. Tulitakiwa tuwe na kipindi cha mputo cha miezi sita kumwangalia kama uRais amemudu then tuweze kumpatia uwenyekiti. Sasa ni mapema sana kumpatia madaraka yote kwa muda mfupi na kwa wakati mmoja.
Cha AJABU jiwe uenyekiti alkua hautaki, walimlazimisha kabisa.Hii hoja mbona haikuletwa kipindi cha jiwe?