Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Let's say kuna mgogoro kati ya raisi mwenye nguvu ya Dola na mwenyekiti wa chama...
raisi kwa hasira anaweza kuanza kufeva chama pinzani at the detriment of fisiemu.....
issue kama hii iliwahi kutokea Malawi...
Umeenda mbali mkuu, Jumbe alipofutwa uanachama na Urais SMZ Ukaishia hapo hapo......
 
Ila hili likitokea yawezakuwa fursa hata kwa vyama vingine kupenya
 
Hakuna kutenganisha urais na uenyekiti mpaka mtueleze kwanini kwa John mliona ni sawa ila siyo kwa Madame President.
Kwanza CCM wana utamaduni wao usemao "Tumekukabidhi Urais na Chama". Hii ina maana ukimaliza miula yako miwili utukabidhi Rais Mpya na Chama chetu.

Sababu yao kuu ni kulinda madaraka hasa wakati wa uchaguzi mkuu. Bila kufanya hivyo mmoja wao anaweza kulaumu kuwa anahujumiwa. Yaani M/Kiti wa Chama anaweza kumlaumu Rais kuwa alitumia Mamlaka yake ya Urais kukihujumu Chama.
 
Hili halikuwezekani wakati wa mwendazake na halitawezekana sasa. Kama likiasisiwa na kanda ya Ziwa litakuwa baya zaidi na kuleta mtafaruku mkubwa sana na mgawanyiko mkubwa. Nchi sii ya kanda moja tu. Utaifa wetu umeenda wapi?
 
CCM ikumbuke imefaidi vyombo vya dola miaka yote na fedha za kutosha toka serikalini sasa wa nini mwenyekiti asie na nguvu za dola na fedha?
 
Hili halikuwezekani wakati wa mwendazake na halitawezekana sasa. Kama likiasisiwa na kanda ya Ziwa litakuwa baya zaidi na kuleta mtafaruku mkubwa sana na mgawanyiko mkubwa. Nchi sii ya kanda moja tu. Utaifa wetu umeenda wapi?
Yaani unavyo attack ukanda utazani hoja yangu imekuja na picha ya ziwa Victoria!

Mimi ni mpogoro hayo mambo ya kanda ya ziwa ni hoja dhaifu sana!
Tuijadili hoja; Kwanini sasa!
Jibu ni kwasababu mtangulizi wake kaonesha kasoro kubwa! Hivyo wakati wa mabadiliko ndiyo huu! Isingekuwa rahisi tujadili namna ya kuvuka mto kabla ya kufika mtoni penyewe!

Mpiga makasia kuendesha mitumbwi miwili ni kuhatarisha maisha ya wengine!

Aliyetangulia kaoshea hatari hiyo!
 
Sijui siasa! Ila niulize hivi Kama akibaki na uraisi na mwenyekiti wa chama akaamua kumfuta uanachama itakuwaje ?
 
Kwanini hili linasemwa leo Kulikoni?
Wameshajifunza toka walivyokuwa wanapelekeshwa na mwendazake. Wakijani walikuwa hawana sauti zaidi ya kusifu na kujipendekeza ili waendelee kulea matumbo yao.
 
Kwa mwendo huku,hado kidogo tupate pa kuanzia. Tulitakiwa tuwe na kipindi cha mputo cha miezi sita kumwangalia kama uRais amemudu then tuweze kumpatia uwenyekiti. Sasa ni mapema sana kumpatia madaraka yote kwa muda mfupi na kwa wakati mmoja.
Marehem Magufuli mlimpa MDA gani kabla ya kumkabidhi uenyekiti.
 
Back
Top Bottom