Kwani uongo kuwa hana akili? Angekuwa na akili Makonda angemchezea? N’gombe 400 alizochinja hizo hela kazi toa wapi sio kwa huyo bibi!!?Sasa angekuwa hana akili angekuwa rais wako, wewe mwenye akili uko wapi!? Acha kuwadharau wanaadamu wenzako kwamba hawana akili. Stupido!
Usiufhi imani zawatu hatasisi matusi tunayoAllah anazidi kujipatia,Mapato ya utalii Mecca.
Mapema Kizmkazi nayo itaingiza Revenue kule upande wa piliKwani huko Mecca kuna nini, ndio mji mtakatifu wa waislam?
Hapa ndipo mwarabu na mzungu walipocheza, kuna namna walifanya ili economically wanufaike in the long run, and that's what they're doing now. Revenue inayopatikana kwa watalii wanaozuru Mecca ni kubwa sana, inaendesha nchi kwa asilimia kubwa tu.
Hongereni waeabu na wazungu, mmejua kuzichukua akili zetu.
Kama wanalipia gharama ya kwenda na kurudi kuna ubaya gani. Wote tunabariki safari yao mradi walipie hiyo safari.
Walipe au ni bureSawa, ninaamini hawatatia hasara watalipa nauli kamili
Tangiapo madudu ni makubwa mara 8 ya yanayotajwaKwa mantiki hii kuwa ofisi ya CAG iwe banda la kubetia mikeka..........maana ukiotea odd upati hasara maisha ........ .....
Tangiapo madudu ni makubwa mara 8 ya yanayotajwa
Na hakuna ofisi inapokea rushwa kwa ofisi ya CAG ila watu hawajui na hawataki kujua, ni ofisi ya hovyo haswa kupita kiasiNdio maana nimetoa pendekezo bora tugeuze banda la kubetia maana haina tena heshima ile ofisi.........huku nje ubabe mwingi sana
Sitoshangaa ndio maana Zimbabwe imetuita Islamic Republic of Tanzania hivi Usecular umetushinda kweli?! Au hawa wajinga wanacheza na moto?!Wanafadhiliwa na serikali?
Hija ni kwa wenye uwezo. Wanalipia vizr tuWanafadhiliwa na serikali?
Hajajiamulia yeye. Hebu msikize vizuriKwamba mali ya UMMA inaendeshwa kwa maamuzi ya mtu na sio kwa kuangalia athari au faida inayoweza kupatikana ?
Sijasema kinachofanyika ni kibaya au kizuri (sina data) ila huu mtindo wa mtu kujiamulia tu kwamba anatoa kibali cha kufanya hiki au kile kitaendelea kutufikisha pabaya zaidi... Hii mali sio ya kwetu pekee bali urithi wa vizazi vijavyo, na tunachofanya sasa ni heri kina Mangungo aw Msovero (Kumbuka hapa sio ndege kama ndege pekee bali ni kodi zetu) Kwahio unless kama hili jambo lina tija economically basi wala hawahitaji kibali chochote they should do it sababu ndio kazi tuliyowapatia ili kulinda mali zetu