Rais Samia acha kuwaonea aibu wakwepa kodi, nchi itateketea

Rais Samia acha kuwaonea aibu wakwepa kodi, nchi itateketea

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,185
Reaction score
6,645
Uki-review hotuba za Rais Samia utagundua ni mtu asiyetaka kabisa mapapa waguswe

Nchi hii wakwepa kodi wakubwa ni hawa wanaojiita mabilonea, wapo tayari waue ili wasilipe kodi

Wanasiasa wengi wanamabiashara hawalipi kodi inavyotakiwa

Kwenye tozo hawa mapapa huwapati fedha zao wametunza kwa dola bank za kimataifa na za matumizi wameziweka ndani

Rais samia onyesha uongozi thabiti, maeneo ya kodi ni mengi
 
Kodi anazotaka yeye ni hizo anazobeba bila jasho hizo za tozo
 
Back
Top Bottom