Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

Aliyepaswa kudeka lakini anachapa kazi usiku na mchana ni mchengerwa(mkwe wa taifa). Sema tuu achungulie watendaji wake ndani ya wilaya ya Ileje mkoani songwe.
Kwani Mchengerwa kwao ni wapi?
 
Hussein Mwinyi angekuwa muadilifu asingeukubali urais ambao anajua hakushinda. CCM hakuna muadilifu kuanzia ikulu mpaka chini
Dawa yao ni kuwaondoa madarakani na chama kingine kikisha ingia madarakani basi ni kuwatupa lupango maana ni majizi
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Unayemshauri ndo noma zaidi ya hao

Usidhani kwamba hana masikio, macho na mikono inayomsaidia kupata ukweli wa hao unaowataja.

Anajua kila kitu. Maadam wanafanana waache waruke pamoja
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hi janga
Ukweli usemwe lakini ccm wote ni wachumia tumbo hakuna aliye mzalendo.
Ccm hawafundishani uadirifu hufundishana upigaji na kudhani Tanzania ni mali yao.
Nchi hii sasa ni sawa na shamba ya bibi.
 
1.Nape[emoji818]
2.Kairuki[emoji808]
3.Masauni[emoji837] (apelekwe kwenye wizara ya taaluma yake)mambo ya ndani inahitaji mtu wa amsha amsha kama Makonda.
4.Mwigulu [emoji808]
5.Makamba[emoji808]
6.Bashungwa[emoji808]
 
Hawez
HawezI kuacha wenzake katika imani never......ever wengine watajijua....si hao...pèriod.....huyo binti mtoto wa SAS anabebwa dunia hii hayupo....boya haswaa.....hakuna kitu....lalkni ...jina na u zanzibara utasimama zamu yaooo
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hiyo Wizara ya Katiba na Sheria kama imepotea vile. Tangu aondoke Prof. Mchome kama imekufa vile.
 
Ulipo waacha Ummy, Aweso, Bashe, Mbarawa na Masauni nikajua haumaniishi, sawa uliwaowataja lakini hawa ni zaidi ya tatizo
Baraza zima la mawaziri hakuna anayefaa.
Kama alivyoandika johnthebaptist kwenye uzi wake wa kufanya mawaziri wasiwe wabunge, ukipata wabunge wa hovyo kama hawa waliopo wa mwendazake, wigo wa kupata mawaziri wazuri ndani yao unakuwa finyu sana.

Kwa sasa ndani ya bunge hili la futuhi, wanaoweza na kufaa kuwa mawaziri na kufanya vyema, hawazidi hata wabunge 10.
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

anga
Ila daah hawa sijui wanatuonaje yaani Wachina na Wahindi wanahudhuria sana hii mikutano mpaka jezi wanavaa ili mradi mambo yao yaende.
 
Kama hujalogwa sijui yaani !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…