Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

Aliyepaswa kudeka lakini anachapa kazi usiku na mchana ni mchengerwa(mkwe wa taifa). Sema tuu achungulie watendaji wake ndani ya wilaya ya Ileje mkoani songwe.
Kwani Mchengerwa kwao ni wapi?
 
Hussein Mwinyi angekuwa muadilifu asingeukubali urais ambao anajua hakushinda. CCM hakuna muadilifu kuanzia ikulu mpaka chini
Dawa yao ni kuwaondoa madarakani na chama kingine kikisha ingia madarakani basi ni kuwatupa lupango maana ni majizi
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Unayemshauri ndo noma zaidi ya hao

Usidhani kwamba hana masikio, macho na mikono inayomsaidia kupata ukweli wa hao unaowataja.

Anajua kila kitu. Maadam wanafanana waache waruke pamoja
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hi janga
Ukweli usemwe lakini ccm wote ni wachumia tumbo hakuna aliye mzalendo.
Ccm hawafundishani uadirifu hufundishana upigaji na kudhani Tanzania ni mali yao.
Nchi hii sasa ni sawa na shamba ya bibi.
 
1.Nape[emoji818]
2.Kairuki[emoji808]
3.Masauni[emoji837] (apelekwe kwenye wizara ya taaluma yake)mambo ya ndani inahitaji mtu wa amsha amsha kama Makonda.
4.Mwigulu [emoji808]
5.Makamba[emoji808]
6.Bashungwa[emoji808]
 
Hawez
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
HawezI kuacha wenzake katika imani never......ever wengine watajijua....si hao...pèriod.....huyo binti mtoto wa SAS anabebwa dunia hii hayupo....boya haswaa.....hakuna kitu....lalkni ...jina na u zanzibara utasimama zamu yaooo
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hiyo Wizara ya Katiba na Sheria kama imepotea vile. Tangu aondoke Prof. Mchome kama imekufa vile.
 
Ulipo waacha Ummy, Aweso, Bashe, Mbarawa na Masauni nikajua haumaniishi, sawa uliwaowataja lakini hawa ni zaidi ya tatizo
Baraza zima la mawaziri hakuna anayefaa.
Kama alivyoandika johnthebaptist kwenye uzi wake wa kufanya mawaziri wasiwe wabunge, ukipata wabunge wa hovyo kama hawa waliopo wa mwendazake, wigo wa kupata mawaziri wazuri ndani yao unakuwa finyu sana.

Kwa sasa ndani ya bunge hili la futuhi, wanaoweza na kufaa kuwa mawaziri na kufanya vyema, hawazidi hata wabunge 10.
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

anga
Ila daah hawa sijui wanatuonaje yaani Wachina na Wahindi wanahudhuria sana hii mikutano mpaka jezi wanavaa ili mradi mambo yao yaende.
Screenshot_20240106_143102_Instagram.jpg
 
Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.

Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.

Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.

Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
  • Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
  • January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
  • Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
  • Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
  • Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
  • Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
  • Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
  • Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
  • Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.
Usiwaogope watu wazuri ndio watakusaidia. Mhe. Rais tumia watu wenye uwezo na waadilifu.

Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Kama hujalogwa sijui yaani !
 
Back
Top Bottom