Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani Mchengerwa kwao ni wapi?Aliyepaswa kudeka lakini anachapa kazi usiku na mchana ni mchengerwa(mkwe wa taifa). Sema tuu achungulie watendaji wake ndani ya wilaya ya Ileje mkoani songwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mchengerwa kwao ni wapi?Aliyepaswa kudeka lakini anachapa kazi usiku na mchana ni mchengerwa(mkwe wa taifa). Sema tuu achungulie watendaji wake ndani ya wilaya ya Ileje mkoani songwe.
Bashe kaharibu zao la korosho kwa kujaza vikwazo kibaoUlipo waacha Ummy, Aweso, Bashe, Mbarawa na Masauni nikajua haumaniishi, sawa uliwaowataja lakini hawa ni zaidi ya tatizo
Inawezekana mzee hawa watu hawana dogoWanapeleka rushwa kubwa
Huyo na yule Mgogo mrefu ni hatari sana kwa rushwaNi Naibu lakini ni mla rushwa haswa
Aliwahi kumtukana mzee wetu LowasaHuyui sio kosa lake bali naona hata kichwani sio mzuri kabisa ndio maana kwake ni kubishana na matusi ndio elimu yake.
Dawa yao ni kuwaondoa madarakani na chama kingine kikisha ingia madarakani basi ni kuwatupa lupango maana ni majiziHussein Mwinyi angekuwa muadilifu asingeukubali urais ambao anajua hakushinda. CCM hakuna muadilifu kuanzia ikulu mpaka chini
Unayemshauri ndo noma zaidi ya haoMheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Ukweli usemwe lakini ccm wote ni wachumia tumbo hakuna aliye mzalendo.Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hi janga
Yaani hilo ni zaidi ya jitu elimu haikumsaidiaDr Mollel [emoji23][emoji23]
Hao ndo rais kawagawia nchi wafanye watakavyo.Nchi haina rais.Kispika yupo kuchekacheka tu.Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
anga
HawezI kuacha wenzake katika imani never......ever wengine watajijua....si hao...pèriod.....huyo binti mtoto wa SAS anabebwa dunia hii hayupo....boya haswaa.....hakuna kitu....lalkni ...jina na u zanzibara utasimama zamu yaoooMheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Man yu walimtimua Ronaldo, siyo 10🫂, baada ya kuzabwa 7 bila majibu na liverpool!Timu ikishindwa,
Wamiliki hufukuza coach, Si wachezaji.
Hiyo Wizara ya Katiba na Sheria kama imepotea vile. Tangu aondoke Prof. Mchome kama imekufa vile.Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Baraza zima la mawaziri hakuna anayefaa.Ulipo waacha Ummy, Aweso, Bashe, Mbarawa na Masauni nikajua haumaniishi, sawa uliwaowataja lakini hawa ni zaidi ya tatizo
Dr mollel ni kilaza ojjiiiDr Mollel [emoji23][emoji23]
Ila daah hawa sijui wanatuonaje yaani Wachina na Wahindi wanahudhuria sana hii mikutano mpaka jezi wanavaa ili mradi mambo yao yaende.Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
anga
Kama hujalogwa sijui yaani !Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.
Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.
Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
Usiwaogope watu wazuri ndio watakusaidia. Mhe. Rais tumia watu wenye uwezo na waadilifu.
- Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
- January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
- Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
- Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
- Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
- Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
- Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
- Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
- Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.
Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga