Rais Samia achana na hawa vijana kwenye nafasi muhimu kama Ukuu wa Wilaya

Rais Samia achana na hawa vijana kwenye nafasi muhimu kama Ukuu wa Wilaya

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU.
Usalama wa watoto utakuwa mdogo.

Screenshot_20230125-160803.jpg

Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
 
Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU.
Usalama wa watoto utakuwa mdogo.
View attachment 2495320

Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
Acha ujinga mtot kaenda kujibandika pamba lote ilo ili atoe uongo duh tuache nongwa mm siajona kosa lake ,hawa watot pasipo vibao hawaendi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Simalenga ni mkiukaji wa haki za binadamu. Mama usipo muwajibisha huko Usukumani akirudia michezo yake ya kiboya atarogwa ageuke kuwa fisi
Ile pamba isikudanganye mkuu eti kuwa mtoto kavimba macho kwa tukofi kile Ni uongo tu ulikuwa ili kumuondoa pale ktk kituo kile na SAS ameondoka zake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom