Rais Samia, achana na majina ya magarasa unayoletewa

John120

Senior Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
139
Reaction score
281
Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao mnaowakumbatia kila mara.

Hasara zinatokea katika wizara au taasisi fulani lakini no action badala yake mtu anapelekwa wizara au taasisi nyingine ambako "Hakuna pesa nyingi ili akalionje joto la jiwe".

Nakuomba punguza kujuana kwenye kazi na ukizingatia ni kwa manufaa ya taifa na si kwa ajili ya mtu binafsi, lakini pia majina yanayojirudia kwenye teuzi zako ni yale yale, utasikia Aweso, Simbachawene, Jenister, hivi taifa zima kwamba hao wako very smart sana kuliko wengine?

Jibu ni hapana, tunahitaji na tunatamani kuona majina mapya.

Asante.
 
..what if?
Basi ngoja nisiweke maneno mengi!
 
Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao mnaowakumbatia kila mara.

Hasara zinatokea katika wizara au taasisi flani lakini no action badala yake mtu analelekwa wizara au taasisi nyingine ambako "hakuna pesa nyingi ili akakionje joto la jiwe".

Nakuomba punguza kujuana kwenye kazi na ukizingatia ni kwa manufaa ya taifa na si kwa ajili ya mtu binafsi
Lakini pia majina yanayojirudia kwenye teuzi zako ni yale yale, utasikia Aweso, Simbachawene, Jenister, hivi taifa zima kwamba hao wako very smart sana kuliko wengine? Jibu ni hapa tunahitaji na tunatamani kuona majina mapya.

Asante.
Shida inaanzia Msoga Kingdom!
 
Unampigia mbuzi gitaa ..hata mwanafu wa wa form 2C anajua tatizo kubwa ni huyo mama
 
Back
Top Bottom