PreGE2025 Rais Samia achangia TSh. Milioni 50 kumuenzi Padri Shirima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.

Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya kumuenzi marehemu Padri Canute Mkwe Shirima AJ, aliyewahi kuwa Baba Gombera wa shule hiyo, mojawapo ya seminari maarufu nchini.

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitangaza mchango huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia alipokuwa akitoa salaam za pole na rambirambi katika ibada ya mazishi ya Padri Shirima, iliyofanyika Seminari ya Uru, Alhamisi, Machi 20, 2025.

“Haya yote niliyoyasema hapa kumhusu Baba Gombera mstaafu Padri Canute Shirima, alivyokuwa mlezi mzuri akifundisha nidhamu na uwajibikaji, nilimwambia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Nilimtaarifu kuwa nakatisha ziara ili kuhudhuria mazishi haya. Mheshimiwa Rais akaniambia anatoa shilingi milioni 50 kwa Seminari ya Uru ili mtengeneze jambo lolote litakaloenzi heshima ya Padri Shirima,” alisema Balozi Nchimbi.

Akizungumzia marehemu Padri Shirima, Dkt. Nchimbi, ambaye pia aliwahi kuwa mwanafunzi wa seminari hiyo, alisema alikuwa mwalimu mahiri aliyesisitiza nidhamu na uwajibikaji kwa wanafunzi wake.

Aliongeza kuwa uongozi wa Padri Shirima ulisaidia Seminari ya Uru kupata sifa kubwa kwa kutoa wahitimu waliodhihirisha uwezo mkubwa katika nyanja mbalimbali.

“Tunawashukuru sana wazazi wa Padri Shirima kwa malezi mazuri waliyompa, ambayo nasi tuliyapata kupitia yeye. Asanteni sana Mapadri Watume wa Yesu Kristo na mapadri wote mliopo. Asante sana Baba Askofu Minde kwa heshima hii ya kuja kuongoza ibada ya kumuaga mwalimu wetu,” alisema Balozi Nchimbi.

Akiongoza ibada hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Mhashamu Askofu Rudovick Joseph Minde ALCP/OSS, alisema marehemu Padri Shirima alikuwa zawadi ya Mungu kwa jamii aliyowatumikia.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa namna alivyoshuhudiwa hapa na umati huu uliokusanyika, mmeona na kusikia jinsi alivyolea watu wakubwa sasa, wakiwemo maaskofu, mapadri, viongozi wa juu serikalini, na hata tumepata salaam kutoka Ofisi ya Rais… Padri Canute alikuwa zawadi ya Mungu kwetu,” alisema Askofu Minde.

Padri Canute Mkwe Shirima, wa Shirika la Watume wa Yesu, ambaye alifariki akiwa katika utume nchini Afrika Kusini, alizikwa kwa heshima zote za Kanisa Katoliki katika makaburi ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, Moshi, Kilimanjaro.

IMG-20250320-WA0218.jpg
7a6b3a4a2e7a4174bad093921fa9eb5e.jpg
01b8954f1540437daed2247a0ccf07b1.jpg
7e80a6074bd74b458531bce4fe0a93b6.jpg
 
Attachments

  • 4e227eeb084f4dc4b8888389ef6cc0fb.jpg
    4e227eeb084f4dc4b8888389ef6cc0fb.jpg
    135.5 KB · Views: 36
  • dccf9eb8e6d84ae5873610a28877520a.jpg
    dccf9eb8e6d84ae5873610a28877520a.jpg
    220.2 KB · Views: 32
  • IMG-20250320-WA0220.jpg
    IMG-20250320-WA0220.jpg
    300.7 KB · Views: 29
  • IMG-20250320-WA0222.jpg
    IMG-20250320-WA0222.jpg
    486.6 KB · Views: 37
  • IMG-20250320-WA0221.jpg
    IMG-20250320-WA0221.jpg
    300.8 KB · Views: 34
  • IMG-20250320-WA0219.jpg
    IMG-20250320-WA0219.jpg
    177.9 KB · Views: 34
Katiba mpya ikataze kuchezeya fedha za umma. Mambo yakiendelea hivi ambapo serikali na kanisa zinatumika kuwaibia wananchi kutatokea shida hapo baadae.
Anyway, apumzike kwa amani kiongozi wa kanisa aliyezikwa
 
Umesahau serikali ilipolipia mahujaji kwenda macca ? Hapo haikuharibu pesa. Ni kodi zao, hata wao wamechangia.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.

Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya kumuenzi marehemu Padri Canute Mkwe Shirima AJ, aliyewahi kuwa Baba Gombera wa shule hiyo, mojawapo ya seminari maarufu nchini.

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitangaza mchango huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia alipokuwa akitoa salaam za pole na rambirambi katika ibada ya mazishi ya Padri Shirima, iliyofanyika Seminari ya Uru, Alhamisi, Machi 20, 2025.

“Haya yote niliyoyasema hapa kumhusu Baba Gombera mstaafu Padri Canute Shirima, alivyokuwa mlezi mzuri akifundisha nidhamu na uwajibikaji, nilimwambia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Nilimtaarifu kuwa nakatisha ziara ili kuhudhuria mazishi haya. Mheshimiwa Rais akaniambia anatoa shilingi milioni 50 kwa Seminari ya Uru ili mtengeneze jambo lolote litakaloenzi heshima ya Padri Shirima,” alisema Balozi Nchimbi.

Akizungumzia marehemu Padri Shirima, Dkt. Nchimbi, ambaye pia aliwahi kuwa mwanafunzi wa seminari hiyo, alisema alikuwa mwalimu mahiri aliyesisitiza nidhamu na uwajibikaji kwa wanafunzi wake.

Aliongeza kuwa uongozi wa Padri Shirima ulisaidia Seminari ya Uru kupata sifa kubwa kwa kutoa wahitimu waliodhihirisha uwezo mkubwa katika nyanja mbalimbali.

“Tunawashukuru sana wazazi wa Padri Shirima kwa malezi mazuri waliyompa, ambayo nasi tuliyapata kupitia yeye. Asanteni sana Mapadri Watume wa Yesu Kristo na mapadri wote mliopo. Asante sana Baba Askofu Minde kwa heshima hii ya kuja kuongoza ibada ya kumuaga mwalimu wetu,” alisema Balozi Nchimbi.

Akiongoza ibada hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Mhashamu Askofu Rudovick Joseph Minde ALCP/OSS, alisema marehemu Padri Shirima alikuwa zawadi ya Mungu kwa jamii aliyowatumikia.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa namna alivyoshuhudiwa hapa na umati huu uliokusanyika, mmeona na kusikia jinsi alivyolea watu wakubwa sasa, wakiwemo maaskofu, mapadri, viongozi wa juu serikalini, na hata tumepata salaam kutoka Ofisi ya Rais… Padri Canute alikuwa zawadi ya Mungu kwetu,” alisema Askofu Minde.

Padri Canute Mkwe Shirima, wa Shirika la Watume wa Yesu, ambaye alifariki akiwa katika utume nchini Afrika Kusini, alizikwa kwa heshima zote za Kanisa Katoliki katika makaburi ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, Moshi, Kilimanjaro.

Sio rushwa?
 
Waliotuletea dini walituua kabisaaa hebu tazama kuna mtu analalamika pesa za wananchi kupelekwa kanisani si sawa sasa kuna raia mkristo anasema mbona siku fulani mahujaji walilipiwa na serikali kwenda kuhiji! Ina maana hakuna atakaetetea mali za nchi hii as long as mlaji wa hizo pesa ni aidha mkristo au mwislam.

Kwa hiyo mla kitimoto akisikia fedha zetu zimeenda Vatican hasemi chochote na mvaa kubazi akisikia pesa zetu zimeenda saudi arabia anashangilia THIS IS THE SO CALLED COLLECTIVE IMBECILLIZATION THRU RELIGION
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.

Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya kumuenzi marehemu Padri Canute Mkwe Shirima AJ, aliyewahi kuwa Baba Gombera wa shule hiyo, mojawapo ya seminari maarufu nchini.

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitangaza mchango huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia alipokuwa akitoa salaam za pole na rambirambi katika ibada ya mazishi ya Padri Shirima, iliyofanyika Seminari ya Uru, Alhamisi, Machi 20, 2025.

“Haya yote niliyoyasema hapa kumhusu Baba Gombera mstaafu Padri Canute Shirima, alivyokuwa mlezi mzuri akifundisha nidhamu na uwajibikaji, nilimwambia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Nilimtaarifu kuwa nakatisha ziara ili kuhudhuria mazishi haya. Mheshimiwa Rais akaniambia anatoa shilingi milioni 50 kwa Seminari ya Uru ili mtengeneze jambo lolote litakaloenzi heshima ya Padri Shirima,” alisema Balozi Nchimbi.

Akizungumzia marehemu Padri Shirima, Dkt. Nchimbi, ambaye pia aliwahi kuwa mwanafunzi wa seminari hiyo, alisema alikuwa mwalimu mahiri aliyesisitiza nidhamu na uwajibikaji kwa wanafunzi wake.

Aliongeza kuwa uongozi wa Padri Shirima ulisaidia Seminari ya Uru kupata sifa kubwa kwa kutoa wahitimu waliodhihirisha uwezo mkubwa katika nyanja mbalimbali.

“Tunawashukuru sana wazazi wa Padri Shirima kwa malezi mazuri waliyompa, ambayo nasi tuliyapata kupitia yeye. Asanteni sana Mapadri Watume wa Yesu Kristo na mapadri wote mliopo. Asante sana Baba Askofu Minde kwa heshima hii ya kuja kuongoza ibada ya kumuaga mwalimu wetu,” alisema Balozi Nchimbi.

Akiongoza ibada hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Mhashamu Askofu Rudovick Joseph Minde ALCP/OSS, alisema marehemu Padri Shirima alikuwa zawadi ya Mungu kwa jamii aliyowatumikia.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Kwa namna alivyoshuhudiwa hapa na umati huu uliokusanyika, mmeona na kusikia jinsi alivyolea watu wakubwa sasa, wakiwemo maaskofu, mapadri, viongozi wa juu serikalini, na hata tumepata salaam kutoka Ofisi ya Rais… Padri Canute alikuwa zawadi ya Mungu kwetu,” alisema Askofu Minde.

Padri Canute Mkwe Shirima, wa Shirika la Watume wa Yesu, ambaye alifariki akiwa katika utume nchini Afrika Kusini, alizikwa kwa heshima zote za Kanisa Katoliki katika makaburi ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, Moshi, Kilimanjaro.

Yule aliyemuachia kijiti cha urais hataki akumbukwe hata kidogo pamoja na mabwawa yake ya umeme na sgr nini sijui. Kama kweli ahera ipo, hii ngozi nyeusi haendi hata mmoja
 
Sasa hiyo nidhamu mbona wengi wao hawana, watamuenzi vipi Marehemu au wanamuenzi kwa kudanganya
 
Taratibu TEC itakuwa kama BAKWATA kikwazo katibu wake mkuu tuu.😡
 
Iwe mbaya kwa wote au sawa kwa wote. Kama waislam walipewa offer na WAKRISTO nao shida nini ?
Kwani dini zipo 2 tu Tanzania? Sisi ambao tunafuata dini za jadi ipoje? Anyway hata wangepewa wanaofuata dini za jadi ingekuwa nongwa. Huwezi kucheza na taxpayers money kwenye kugawa kwenye dini. Hatulipi kodi ili zianze kugaiwa masinagogi, misikiti au makanisa
 
Wasipokuwa makini Katoliki watakuwa kama vyama siasa kuhongwa mipesa kuwa compromised....maana Vatican wameacha kutoa pesa ....nimeshangaa seminari kuu ina ukata pesa inataka kufa daaa aibuuuu....kubwa kanisa Katoliki
 
Back
Top Bottom