Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Haya makanisa yamekuwa ya kijinga haswaKanisa mnaanza kuwa wajinga na washenzi. Hili wimbi la mama mitano tena,,,,msikubali kujiingiza kwenye Unajisi!
Umesahau serikali ilipolipia mahujaji kwenda macca ? Hapo haikuharibu pesa. Ni kodi zao, hata wao wamechangia.Katiba mpya ikataze kuchezeya fedha za umma. Mambo yakiendelea hivi ambapo serikali na kanisa zinatumika kuwaibia wananchi kutatokea shida hapo baadae.
Anyway, apumzike kwa amani kiongozi wa kanisa aliyezikwa
Kwa hiyo wewe unaona matumizi ya fedha za umma kwenye Imani za watu ni sawa?Umesahau serikali ilipolipia mahujaji kwenda macca ? Hapo haikuharibu pesa. Ni kodi zao, hata wao wamechangia.
Sio rushwa?Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.
Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya kumuenzi marehemu Padri Canute Mkwe Shirima AJ, aliyewahi kuwa Baba Gombera wa shule hiyo, mojawapo ya seminari maarufu nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitangaza mchango huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia alipokuwa akitoa salaam za pole na rambirambi katika ibada ya mazishi ya Padri Shirima, iliyofanyika Seminari ya Uru, Alhamisi, Machi 20, 2025.
“Haya yote niliyoyasema hapa kumhusu Baba Gombera mstaafu Padri Canute Shirima, alivyokuwa mlezi mzuri akifundisha nidhamu na uwajibikaji, nilimwambia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
“Nilimtaarifu kuwa nakatisha ziara ili kuhudhuria mazishi haya. Mheshimiwa Rais akaniambia anatoa shilingi milioni 50 kwa Seminari ya Uru ili mtengeneze jambo lolote litakaloenzi heshima ya Padri Shirima,” alisema Balozi Nchimbi.
Akizungumzia marehemu Padri Shirima, Dkt. Nchimbi, ambaye pia aliwahi kuwa mwanafunzi wa seminari hiyo, alisema alikuwa mwalimu mahiri aliyesisitiza nidhamu na uwajibikaji kwa wanafunzi wake.
Aliongeza kuwa uongozi wa Padri Shirima ulisaidia Seminari ya Uru kupata sifa kubwa kwa kutoa wahitimu waliodhihirisha uwezo mkubwa katika nyanja mbalimbali.
“Tunawashukuru sana wazazi wa Padri Shirima kwa malezi mazuri waliyompa, ambayo nasi tuliyapata kupitia yeye. Asanteni sana Mapadri Watume wa Yesu Kristo na mapadri wote mliopo. Asante sana Baba Askofu Minde kwa heshima hii ya kuja kuongoza ibada ya kumuaga mwalimu wetu,” alisema Balozi Nchimbi.
Akiongoza ibada hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Mhashamu Askofu Rudovick Joseph Minde ALCP/OSS, alisema marehemu Padri Shirima alikuwa zawadi ya Mungu kwa jamii aliyowatumikia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa namna alivyoshuhudiwa hapa na umati huu uliokusanyika, mmeona na kusikia jinsi alivyolea watu wakubwa sasa, wakiwemo maaskofu, mapadri, viongozi wa juu serikalini, na hata tumepata salaam kutoka Ofisi ya Rais… Padri Canute alikuwa zawadi ya Mungu kwetu,” alisema Askofu Minde.
Padri Canute Mkwe Shirima, wa Shirika la Watume wa Yesu, ambaye alifariki akiwa katika utume nchini Afrika Kusini, alizikwa kwa heshima zote za Kanisa Katoliki katika makaburi ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, Moshi, Kilimanjaro.
Yule aliyemuachia kijiti cha urais hataki akumbukwe hata kidogo pamoja na mabwawa yake ya umeme na sgr nini sijui. Kama kweli ahera ipo, hii ngozi nyeusi haendi hata mmojaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.
Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya kumuenzi marehemu Padri Canute Mkwe Shirima AJ, aliyewahi kuwa Baba Gombera wa shule hiyo, mojawapo ya seminari maarufu nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitangaza mchango huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia alipokuwa akitoa salaam za pole na rambirambi katika ibada ya mazishi ya Padri Shirima, iliyofanyika Seminari ya Uru, Alhamisi, Machi 20, 2025.
“Haya yote niliyoyasema hapa kumhusu Baba Gombera mstaafu Padri Canute Shirima, alivyokuwa mlezi mzuri akifundisha nidhamu na uwajibikaji, nilimwambia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
“Nilimtaarifu kuwa nakatisha ziara ili kuhudhuria mazishi haya. Mheshimiwa Rais akaniambia anatoa shilingi milioni 50 kwa Seminari ya Uru ili mtengeneze jambo lolote litakaloenzi heshima ya Padri Shirima,” alisema Balozi Nchimbi.
Akizungumzia marehemu Padri Shirima, Dkt. Nchimbi, ambaye pia aliwahi kuwa mwanafunzi wa seminari hiyo, alisema alikuwa mwalimu mahiri aliyesisitiza nidhamu na uwajibikaji kwa wanafunzi wake.
Aliongeza kuwa uongozi wa Padri Shirima ulisaidia Seminari ya Uru kupata sifa kubwa kwa kutoa wahitimu waliodhihirisha uwezo mkubwa katika nyanja mbalimbali.
“Tunawashukuru sana wazazi wa Padri Shirima kwa malezi mazuri waliyompa, ambayo nasi tuliyapata kupitia yeye. Asanteni sana Mapadri Watume wa Yesu Kristo na mapadri wote mliopo. Asante sana Baba Askofu Minde kwa heshima hii ya kuja kuongoza ibada ya kumuaga mwalimu wetu,” alisema Balozi Nchimbi.
Akiongoza ibada hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Mhashamu Askofu Rudovick Joseph Minde ALCP/OSS, alisema marehemu Padri Shirima alikuwa zawadi ya Mungu kwa jamii aliyowatumikia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa namna alivyoshuhudiwa hapa na umati huu uliokusanyika, mmeona na kusikia jinsi alivyolea watu wakubwa sasa, wakiwemo maaskofu, mapadri, viongozi wa juu serikalini, na hata tumepata salaam kutoka Ofisi ya Rais… Padri Canute alikuwa zawadi ya Mungu kwetu,” alisema Askofu Minde.
Padri Canute Mkwe Shirima, wa Shirika la Watume wa Yesu, ambaye alifariki akiwa katika utume nchini Afrika Kusini, alizikwa kwa heshima zote za Kanisa Katoliki katika makaburi ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, Moshi, Kilimanjaro.
Sasa hiyo nidhamu mbona wengi wao hawana, watamuenzi vipi Marehemu au wanamuenzi kwa kudanganyaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro.
Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya kumuenzi marehemu Padri Canute Mkwe Shirima AJ, aliyewahi kuwa Baba Gombera wa shule hiyo, mojawapo ya seminari maarufu nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitangaza mchango huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia alipokuwa akitoa salaam za pole na rambirambi katika ibada ya mazishi ya Padri Shirima, iliyofanyika Seminari ya Uru, Alhamisi, Machi 20, 2025.
“Haya yote niliyoyasema hapa kumhusu Baba Gombera mstaafu Padri Canute Shirima, alivyokuwa mlezi mzuri akifundisha nidhamu na uwajibikaji, nilimwambia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
“Nilimtaarifu kuwa nakatisha ziara ili kuhudhuria mazishi haya. Mheshimiwa Rais akaniambia anatoa shilingi milioni 50 kwa Seminari ya Uru ili mtengeneze jambo lolote litakaloenzi heshima ya Padri Shirima,” alisema Balozi Nchimbi.
Akizungumzia marehemu Padri Shirima, Dkt. Nchimbi, ambaye pia aliwahi kuwa mwanafunzi wa seminari hiyo, alisema alikuwa mwalimu mahiri aliyesisitiza nidhamu na uwajibikaji kwa wanafunzi wake.
Aliongeza kuwa uongozi wa Padri Shirima ulisaidia Seminari ya Uru kupata sifa kubwa kwa kutoa wahitimu waliodhihirisha uwezo mkubwa katika nyanja mbalimbali.
“Tunawashukuru sana wazazi wa Padri Shirima kwa malezi mazuri waliyompa, ambayo nasi tuliyapata kupitia yeye. Asanteni sana Mapadri Watume wa Yesu Kristo na mapadri wote mliopo. Asante sana Baba Askofu Minde kwa heshima hii ya kuja kuongoza ibada ya kumuaga mwalimu wetu,” alisema Balozi Nchimbi.
Akiongoza ibada hiyo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi, Mhashamu Askofu Rudovick Joseph Minde ALCP/OSS, alisema marehemu Padri Shirima alikuwa zawadi ya Mungu kwa jamii aliyowatumikia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwa namna alivyoshuhudiwa hapa na umati huu uliokusanyika, mmeona na kusikia jinsi alivyolea watu wakubwa sasa, wakiwemo maaskofu, mapadri, viongozi wa juu serikalini, na hata tumepata salaam kutoka Ofisi ya Rais… Padri Canute alikuwa zawadi ya Mungu kwetu,” alisema Askofu Minde.
Padri Canute Mkwe Shirima, wa Shirika la Watume wa Yesu, ambaye alifariki akiwa katika utume nchini Afrika Kusini, alizikwa kwa heshima zote za Kanisa Katoliki katika makaburi ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, Moshi, Kilimanjaro.
Iwe mbaya kwa wote au sawa kwa wote. Kama waislam walipewa offer na WAKRISTO nao shida nini ?Kwa hiyo wewe unaona matumizi ya fedha za umma kwenye Imani za watu ni sawa?
Kwani dini zipo 2 tu Tanzania? Sisi ambao tunafuata dini za jadi ipoje? Anyway hata wangepewa wanaofuata dini za jadi ingekuwa nongwa. Huwezi kucheza na taxpayers money kwenye kugawa kwenye dini. Hatulipi kodi ili zianze kugaiwa masinagogi, misikiti au makanisaIwe mbaya kwa wote au sawa kwa wote. Kama waislam walipewa offer na WAKRISTO nao shida nini ?